Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

kipara bila pesa ni kovu,
pesa mbele tai ndo inafuata,
akifkiriacho mjinga n ujinga,
kama pesa hailali mtaftaji schongi kitanda.
 
Back
Top Bottom