Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

1. Makalio ya sufuria hayaogopi moto
2. Ukubwa wa pua sio uwingi wa kamasi
3. Dume kuhaha!
4. Beki kukaba
5. Ni utoto tu akikua ataacha
 
Ninafurahishwa na misemo inayaoandikwa katika magari hususani daladala.

1. Silaha pesa Bastola mzigo
2. Hata uoge mjini huendi
3. Chezea mshahara usichezee kazi
4. Hata manyunyu ni mvua

Endeleza hapo.

Kama una haraka shuka ukimbie
 
Ninafurahishwa na misemo inayaoandikwa katika magari hususani daladala.

1. Silaha pesa Bastola mzigo
2. Hata uoge mjini huendi
3. Chezea mshahara usichezee kazi
4. Hata manyunyu ni mvua

Endeleza hapo.

Pata Pesa tujue Tabia zako........
Panya kala Paka...........
 
Back
Top Bottom