Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

1. Kudua na kugosha chedi nini?
2. Ugali moto, mboga moto- (Lingine linajibu vitaliwa na moto wake)
 
1. Una bip Fire
2. Mficha Uchi Hazai
3. No Pain no GAin
4. Wao Majungu Kwetu kazi
4. ................
 
Sitosahau kilimatinde! (huyu jamaa naskia walimfanyia kitu mbaya maeneo hayo!)
Hard rock to infinity!
Dear mama!
When all is said and done,more is said than done!
Allah Ibarik!
Usinitafute!
Ukifika wasalimie!
La kuchumpa!
Salam zao!

Kuna 109 moja ilikuwa maarufu sana miaka ya 80s kule kigoma, ilikuwa imefungwa minyororo kibao kule nyuma,
mchana inakuwa juu ya mawe-usiku inakula magendo, nimesahau msemo wake! waliokuwa ujiji enzi hizo watanikumbusha,
pamoja na basi moja "Nusu mkate". Zamani ujumbe wote ulikuwa na maana, siku hizi naona wanabandika majina ya watu tu!
 
Usikikodolee macho,kilicho ndani si chako.

Penalti pia mwanikaba?

Uzuri wa nyumba ni choo.

Uzuri wa gari ni betri.
 
...........Kamweleze, nitajieleza, ni mwelewa, atanielewa..............

..........njaa haina ubaunsa........................................................
 
Back
Top Bottom