Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

No Hurry in Africa

Ilikuwa Ipogolo Iringa, Gari ni Benz (lory la mizigo) jamaa alikuwa kapaki karibu na petrol station, yuko na mtoto mbichiiiiiii wametandika mkeka wamepumzika pembeni wanapata bia barrrrrrrrridi. kweli ile ilikuwa haina haraka, jamaa anatembea mna mchichu anakwenda Zimbabwe. pale nadhani alitumia to weeks

Kuna SISI KWA SISI
 
Izina la Mfumwa Litogolwe--Hii ni ya kipare nadhani inamaana jina la bwana lisifiwe
Kifo cha Mende
Kamujingijingi---naomba tafsiri kwa hii nadhani ni kinyaturu
Kama kumsukuma mlevi vile
 
Back
Top Bottom