Miradi ya umeme

KATIZAJI

Member
Oct 11, 2007
58
5
Wataaalam wa umeme tunaomba watujuze; Hivi umeme wa gesi (Gas Plant) unaweza kutumika kama 'Continuous power' au 'Standby power'?
Kwa nini TANESCO na Serikali wanang'ang'ania umeme wa gesi kama vile vyanzo vya umeme wa maji hakuna wakati vipo tele! Tena sio maji ya kusuasua kama Mtera! Makaa ya mawe yapo, hatutaki kuyatumia kuzalisha umeme!
 
Back
Top Bottom