Minister Sospeter Muhongo: THE ARROGANT

Mkuu, hawa jamaa ndio zao. Hivi kwa nini hawakubali uwakilishi wa TPDC? Wanataka wafanye ya kwao binafsi. Mwenye uwezo wa kushiriki na ashiriki hakuna aliyewazuia. Tatizo wanataka upendeleo maalum ili baadae walangue hivyo vitalu.

Wakati wa kubinafsisha Kilimanjaro Hotel Mengi alipiga sana kelele. Akapewa eneo zuri katikati ya mji ajenge hiyo hotel akaishia kuuza tena kwa hao anaowaita mapapa wa rushwa.

Anamiliki vitalu vingi vya madini kupitia kampuni zake kadhaa na hakuna maendeleo yoyote zaidi ya kulangua vitalu hivyo.
Sospeter Muhongo ni msomi na mwadilifu na lazima aonekana ana kiburi mbele ya wapenda dezo kama Mengi.

Tunataka gesi na mafuta vinufaishe watanzania wote sio wachache waliopendelewa. Wakisha shiba hizo hela ndio yale makombo wanakuja kulisha walemavu pale Diamond Jubilee.

Mkuu,,,kuna Rasilimali.gani iliyomnufaisha mtanzania wakawaida km si viongozi peke yao
 
Hawa watu wakiingia kwenye madaraka wanafikiri kuwa vyeo vyao ni vya milele hivyo mambo wanayofanya wanafanya ya kuangalia matumbo yao tu badala ya kufanya kazi kwa manufaa ya watanzania. Na kwa mtindo huu kashfa za ufisadi hazitaisha mpaka CCM itolewe madarakani vinginevyo tutaendelea kulalama kila siku bila kupata majibu.
 
Hii nchi wallah nimesingiziwa na nitapgana niondoke nisione wala kusikoa tena uozo huu am not of this level.
 
Mkuu,,,kuna Rasilimali.gani iliyomnufaisha mtanzania wakawaida km si viongozi peke yao

Yote mawili hayakubaliki. Kuwanufaisha viongozi au wateule wachache kama akina Mengi. Tuige mfano wa Norway na mafuta yao.
 
Niseme tu kua siungi mkono wizi wa mali za umma wala matumizi mabaya ya ofisi.

Nachokisema ni kwamba Muhongo ni moja ya mawaziri makini na bora kabisa Tanzania imebahatika kua nao.

Uwe unampenda au humpendi,tukiacha siasa za kinafiki za kitanzania Muhongo is the best maana mambo mengine hayo ni siasa.

Muhongo ni waziri asie mnafiki,he calls a spade a spade,kama uwezo wako ni wa kuuza juisi anakwambia,hakuna unafiki.

Tuliozoea siasa za kimagumashi na kinafiki za kitanzania tutamuona mhongo mbaya na kumtungia mambo. Ni waziri pekee alieweza kuimudu wizara ya nishati na madini.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,tujifunze kukubali ukweli hata kama hatuupendi.
 
Nakubaliana na wewe kwamba he's the best....hata tanesco kwa sasa imetengeneza hasara mara tatu ya alivyoikuta.

Arrogance na brilliance kitu bili tofauti
 
Kudanganya! Kubeba makaratasi yasiyohusiana na hoja, kumfanyia hila mtumishi wa uma afukuzwe kazi, kumuundia mtumishi kesi ya kugushi ili afungwe, kutamba yeye ni bora, haya yanamfanya awe nini? Na 1.6bn bila jasho na bila kuuweka wazi kama ni zawadi inamfanya bora kwa kigezo cha maadili ya ofisi yake? Acha kujitekenya
 
Ni profesa muongo sana, taarifa zake zote ni za uongo, mpaka analeta uongo na kuzikana pesa za umma ili ziliwe na waongo,kwa uongo wake mpaka ikalazimika maninja wakaingia bungeni na kumchomoa, dah huyu jamaa ni muongo sana aisee...
 
Niseme tu kua siungi mkono wizi wa mali za umma wala matumizi mabaya ya ofisi.

Nachokisema ni kwamba Muhongo ni moja ya mawaziri makini na bora kabisa Tanzania imebahatika kua nao.

Uwe unampenda au humpendi,tukiacha siasa za kinafiki za kitanzania Muhongo is the best maana mambo mengine hayo ni siasa.

Muhongo ni waziri asie mnafiki,he calls a spade a spade,kama uwezo wako ni wa kuuza juisi anakwambia,hakuna unafiki.

Tuliozoea siasa za kimagumashi na kinafiki za kitanzania tutamuona mhongo mbaya na kumtungia mambo. Ni waziri pekee alieweza kuimudu wizara ya nishati na madini.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,tujifunze kukubali ukweli hata kama hatuupendi.
Kwa utumbo huu hata buku 2 walahi leo hupati!
 
Kamsaidie kusaga miamba si hatumhitaji angekua na akili angesaidia TANESCO isitengeneze hasara kila mwaka....

Alifikiri watanzania wote ni wanafunzi wake kwa kututolea maneno ya kashfa...
.

Kule mapango ya Amboni kuna miamba mingi akacheze nayo tu
 
Kitu kimoja LAZIMA tukubali, Muhongo licha ya tuhuma alizo nazo, toka achukue wizara ya nishati na madini, upande wa upatikanaji wa umeme, tatizo limepungua kwa kiasi kikubwa tofauti na hapo kabla yake (njelega alikuwa mapumbu yaliyo hasiwa) na pia vijijini umeme unaanza kuwa aghalau kitu cha kawaida. Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe.
 
Uprofesa wa kuua kuiba kudanganya umma ni Muongo kama jina lake asante Kafulila kwa kututoa gizani ckujua kama Chenge Ngeleja Tibaijuka Yona Muongo wamepewa pesa bilioni 1.6 bila kazi yoyote ile ni shiida Rais kama anataka akumbukwe milele afanye maamuzi magumu na kurudisha uadilifu nchini kwa muda uliobaki kwa kumfukuza kazi Muhongo Mswi Tibaijuka JUMATATU. Kama alivyofanya kwa Nchimbi Maige Jairo Lowasa Vuai hawa wakibaki nitahama Nchi.
 
Back
Top Bottom