Minister Sospeter Muhongo: THE ARROGANT

Nakubaliana na wewe kwamba he's the best....hata tanesco kwa sasa imetengeneza hasara mara tatu ya alivyoikuta.

Arrogance na brilliance kitu bili tofauti
Unashau kuwa tanesco kwa sasa inafanya miradi mikubwa kama minne yote ya uwekezaji mkubwa hivyo hsara hikwepeki ila ipo siku watanzania watajuta kumkosa muhongo kama Rais atakubali kutengua uteuzi wake.
 
Nakubaliana na wewe kwamba he's the best....hata tanesco kwa sasa imetengeneza hasara mara tatu ya alivyoikuta.

Arrogance na brilliance kitu bili tofauti

Kipi bora?? Kuwa na yale matatizo ya umeme ya kipindi kile wamebana budget, pia kutojali kupeleka umeme vijijini au kuwa na umeme wa sasa na kuwa na baadhi ya vijiji vikiwa na umeme na hilo deni kuongezeka??
 
Nyota ya muhongo ni kubwa itazidi kuwaka daima fitina za akina mengi na mkono hazina mashiko hata akiondoka tanzania dunia inamhitaji.
 
Niseme tu kua siungi mkono wizi wa mali za umma wala matumizi mabaya ya ofisi.

Nachokisema ni kwamba Muhongo ni moja ya mawaziri makini na bora kabisa Tanzania imebahatika kua nao.

Uwe unampenda au humpendi,tukiacha siasa za kinafiki za kitanzania Muhongo is the best maana mambo mengine hayo ni siasa.

Muhongo ni waziri asie mnafiki,he calls a spade a spade,kama uwezo wako ni wa kuuza juisi anakwambia,hakuna unafiki.

Tuliozoea siasa za kimagumashi na kinafiki za kitanzania tutamuona mhongo mbaya na kumtungia mambo. Ni waziri pekee alieweza kuimudu wizara ya nishati na madini.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,tujifunze kukubali ukweli hata kama hatuupendi.

Kweli ameimudu manake alipokuja wizarani tanesco ilikuwa na deni la billion 50, hadi kufikia mwezi Oct ni billion 400.
 
I have lived with professors, one thing I
have observed common to most of them...
they always humble themselves down, they
listen more than as they speak, they speak
with facts, they never manipulate facts...
People with pomps, mostly are semi-
illiterates!!!
 
ameondolewa na economic hit men ( EHM's) sababu alianza kubana maslahi yao..many thanks prof. kwa kaz nzuri ulio ifanyia taifa letu..:sly:
 
Usidharau watu, wakati huwezi hata ku
clone (kutengeneza) sisimizi!!! Eti kwa kuwa
tu umesoma sana, umewahi kufanya kazi
nje ya nchi, kwenye mashirika ya
kimataifa, mwanasayansi, umeandika
vitabu etc. Sasa na madoido yako mbona
hulinganishwi na Mzee Andanenga, "Sauti
ya Kiza" ambaye ni mja wa Mola ambaye
hakujaliwa kuona, lakini ughani wake wa
mashairi haujapata tokea baina ya
malenga... Mimi na usomi wangu hata
mizani ya ubeti mmoja siwezi; vipi kuhusu
Profesa wa Maprofesa katika falsafa ya
maisha ya kitanzania, alieishia darasa la
sita, Professor Shaaban Robert, pamoja na
madigrii yangu bado nikisoma baadhi ya
maandishi yake sielewi mpaka kichwa
chauma!! Sijaweza mpaka leo kutafsiri kwa
akili yangu ughani wa Profesa Bi. Kidude wa
Muhogo wa Jang'ombe!!! Albert Einstein
ndio mpaka utakufa huja ruhusiwa hata
kuingia katika maabara yake kama
mwanasayansi! Labda uingie kama mtalii na
kikamera chako!!! Jamani, Kila mtu ni
Profesa kama mchango wake katika jamii
unabadili maisha ya watu wake positively!!!
Binti mdogo wa Pakistan amepata Tuzo ya
Nobel mwaka huu 2014 kwa sababu analilia
yeye na watoto wenzake wasomeshwe, sio
kwasababu ni Profesa!!! Hata digrii hana,
hajafika hata form four!!!! Kwa watu wa
Simanjiro, Landanai, Olkesmet... Profesa
wao kwa muda mrefu ni Ole Sendeka!!!
Ukipeleka tuvitabu twako huko wanakuona
we ---- tu!!!!
 
Niseme tu kua siungi mkono wizi wa mali za umma wala matumizi mabaya ya ofisi.

Nachokisema ni kwamba Muhongo ni moja ya mawaziri makini na bora kabisa Tanzania imebahatika kua nao.

Uwe unampenda au humpendi,tukiacha siasa za kinafiki za kitanzania Muhongo is the best maana mambo mengine hayo ni siasa.

Muhongo ni waziri asie mnafiki,he calls a spade a spade,kama uwezo wako ni wa kuuza juisi anakwambia,hakuna unafiki.

Tuliozoea siasa za kimagumashi na kinafiki za kitanzania tutamuona mhongo mbaya na kumtungia mambo. Ni waziri pekee alieweza kuimudu wizara ya nishati na madini.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,tujifunze kukubali ukweli hata kama hatuupendi.

Ivi unataka kuniambia jana jioni kweli hujapata muda kumsikiliza Zitto alipokuwa anajibu hoja za Muhongo toka aingie kazini hadi sasa kwenye hiyo Wizara ya Nishati shirika linavyopata hasara? sikiliza ile hotuba ya Zitto jana jioni uone namna gani alivyolitia Taifa hasara kwa shirika hili kuongoza kwa madeni tofauti ya mara 3 zaidi na alivyolikuta.

Huyu prof. wenu ni muongo na inavyoonekana hulidanganya Taifa mara zote kutokana na hiyo elimu yake ya uprofesa, huyu jamaa ni muhujumu uchumi hafaii. kadri unavyofahamu na kufkria aliyofanya alipaswa kufanya hivyo ata mara 10 zaidi huyu jamaa ni mwizi na sasa hoja zake siyo tu kwamba zimepanguliwa lakini ameekwa uchi zaidi kwa aliyokuwa anayafanya. Amefilisika kisiasa, poor professor
 
huyo minister ni muuaji kabisa we huwezi chukuwa ela za wizi kwa uma afu wenzio wanakufa njaa
 
Niseme tu kua siungi mkono wizi wa mali za umma wala matumizi mabaya ya ofisi.

Nachokisema ni kwamba Muhongo ni moja ya mawaziri makini na bora kabisa Tanzania imebahatika kua nao.

Uwe unampenda au humpendi,tukiacha siasa za kinafiki za kitanzania Muhongo is the best maana mambo mengine hayo ni siasa.

Muhongo ni waziri asie mnafiki,he calls a spade a spade,kama uwezo wako ni wa kuuza juisi anakwambia,hakuna unafiki.

Tuliozoea siasa za kimagumashi na kinafiki za kitanzania tutamuona mhongo mbaya na kumtungia mambo. Ni waziri pekee alieweza kuimudu wizara ya nishati na madini.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,tujifunze kukubali ukweli hata kama hatuupendi.

Aaaah wapi!!!
Profesa mzima kashindwa kujitetea mbele ya wale vijana wadogo, Zito, Kafulila, Filikunjombe, Kigwangwala na Mpina na wengine.
Tatizo la Muhongo ni kufikiri na kujipa matumaini kuwa ni kichwa chake tu kinafanya kazi.
Kasambaratishwa vibaya bungeni hadi kakosa mtu wa kumsapoti, akaanza kujitetea kwa uongo na kusema kazi zingine za due diligence siyo kazi yake!
Hakuonyesha dalili za kuwa mtu makini na mwenye akili sana.

Hata hivyo mnaompenda mkanywe naye chai !!!
 
Unashau kuwa tanesco kwa sasa inafanya miradi mikubwa kama minne yote ya uwekezaji mkubwa hivyo hsara hikwepeki ila ipo siku watanzania watajuta kumkosa muhongo kama Rais atakubali kutengua uteuzi wake.

nna mashaka na ii evaluation yako kwa kweli kama ipo sahihi...
 
I have lived with professors, one thing I
have observed common to most of them...
they always humble themselves down, they
listen more than as they speak, they speak
with facts, they never manipulate facts...
People with pomps, mostly are semi-
illiterates!!!
U profesa wa Muhongo ni kwa kuibia watanzania tu.
 
Unashau kuwa tanesco kwa sasa inafanya miradi mikubwa kama minne yote ya uwekezaji mkubwa hivyo hsara hikwepeki ila ipo siku watanzania watajuta kumkosa muhongo kama Rais atakubali kutengua uteuzi wake.
Huwa nashangazwa na lack of basic knowledge katika michango yako.
Miradi unyoiongelea, mingi ilibuniwa hata kabla Muhongo hajaingia wizara ile.
Matatizo ya Muhongo ni kukosa PR inayoweza kumuunganisha na wadau wengine wa maendeleo.
Kama mnamuona ana akili sana , basi mumhimize akatunge vitabu vingi zaidi vya gesi ya Mtwara, huyu jamaa AMEFAIL MISERABLY kuishi na watu.
 
Muhongo nenda kafanye kazi sehemu wanazothamini kazi zako achana na watanzania! Ubabaishaji mwingi nchi hii!
 
Back
Top Bottom