Its Chenge from all angles....Wakuu, sidhani kama anayezungumziwa kwenye hii issue ni Chenge, ukidigest kwa makini inaelekea kama vile ni Profesa.
Also:Its Chenge from all angles....
who else fits this description?
- article hii nyingine inataja taaluma yake - mwanasheria
- alikua high official (sio waziri) toka 1995 hadi 2005 - alikua AG
- ni waziri mwandamizi wa sasa - ni waziri wa miundo mbinu
Wakuu, sidhani kama anayezungumziwa kwenye hii issue ni Chenge, ukidigest kwa makini inaelekea kama vile ni Profesa.
My take:
The going is getting tough.
Hivi Kikwete hakuyajua haya alipomrudisha kwenye cabinet!??.
This guy is not serious at all.
Na washauri wake hawafai kabisaaa!
Wa kumtetea muendelee, lakini naona mwisho wa siku unakaribia