MIni breaking news: Angalia simba tv kuanzia sa nne kamili

Fungua clouds Tv wamejiunga na tv ya ukweli Simba Tv chama la ukweliiiiii.
Ujinga huu, Mini Breaking News ndio kiingereza cha wapi? hivi kuwa na airtime kwenye Tv nyingine ndio kumiliki Tv Station? haya tueleze studio za Simba Tv ziko wapi na watangazaji wake ni kina nani?
 
Msameheni jamani,ndo uwezo wake wa kuelewa mambo ulipoishia hapo
 
Badala ya kuanza kutafuta kiwanja kwanza wanakimbilia kwenye tv. Kweli Simba hamnazo.

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
 
Na manji je? Naskia wachezaji full kulala mzungu wa nne? Kukumbatiana cz guest mnazofikia hata mashuka hakuna na kibaridi cha mkoa mnaishia kukumbatiana 2. Tom na Jerry mpaka kasepa kwa kuogea kata. Mito hakuna mnalalia ngumi bana!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom