Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,174
Kwenye uwanja wa wa mahaba kapo katabia ka kuficha "feelings" kwa khofu ya kuachwa majeruhi na yule umpendaye........kwa hiyo kamchezo hako hufanya binti au kijana acheze mchezo uitwao "mind games"...................kwa maana ya kujenga mazingira ya kuwa hazitaki mbichi hizi huku akijua zimewiva na anazihitaji kwa udi na uvumba...............swali langu ni kuwa ni nani hunufaika na mind games hizi......................Ufafanuzi......
<strong>
1) Baada ya a steamy "one night stand" utakuta binti akijiuliza maswali yafuatayo:-
a) Mbona hanitumii sms au kunipigia simu mara kwa mara kama wakati ule alipoanza kunitongoza.............au baada ya kunitafuna sasa kaingia mitini.............................was this about the sex?
b) Mbona hachemki kama zamani kabla sijamlambisha tunda langu?
c)Hivi kwa nini sitembelewi kama zamani......................yaani kapotea kabisa......................
2) Binti naye alipokuwa akisakwa kwa udi na uvumba naye alikuwa na mind games zake kama zifuatazo:-
a) Ukimpigia simu huchukua muda sana kabla hajapokea...................na wakati mwingine hapokei au hata kuikata akilenga kukuonyesha ya kuwa hakuhitaji huku wewe ndipo roho yake inadundia.................hizi mind games lengo lake ni kuinua hamu yako kwake..............kwa kufifilisha matarajio yake kwako ingawaje kwa kukumwagia changa machoni........
b) Kukupa majibu ambayo anajua hutapendezewa nayo...............lengo hapo ni kukuonyesha ya kuwa bado haujaingia akilini kwake lakini kumbe mambo ni kinyume chake....................
c) Kukupiga kalenda hasa akiona umemwelemea kwa khoja ya kumdo na sasa atakiwa kukulambisha sukari..........lol
kwa ufafanuzi zaidi jisomee hii mada.................The minds games men play
Nani hunufaika zaidi kati ya binti na kijana kwenye hizi mind games? Hilo ndilo swali langu la leo Jmosi.............enjoy your weekend...........

Last edited by a moderator: