MIND GAMES: Nani hunufaika?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Kwenye uwanja wa wa mahaba kapo katabia ka kuficha "feelings" kwa khofu ya kuachwa majeruhi na yule umpendaye........kwa hiyo kamchezo hako hufanya binti au kijana acheze mchezo uitwao "mind games"...................kwa maana ya kujenga mazingira ya kuwa hazitaki mbichi hizi huku akijua zimewiva na anazihitaji kwa udi na uvumba...............swali langu ni kuwa ni nani hunufaika na mind games hizi......................Ufafanuzi......

<strong>
1) Baada ya a steamy "one night stand" utakuta binti akijiuliza maswali yafuatayo:-

a) Mbona hanitumii sms au kunipigia simu mara kwa mara kama wakati ule alipoanza kunitongoza.............au baada ya kunitafuna sasa kaingia mitini.............................was this about the sex?

b) Mbona hachemki kama zamani kabla sijamlambisha tunda langu?

c)Hivi kwa nini sitembelewi kama zamani......................yaani kapotea kabisa......................

2) Binti naye alipokuwa akisakwa kwa udi na uvumba naye alikuwa na mind games zake kama zifuatazo:-

a) Ukimpigia simu huchukua muda sana kabla hajapokea...................na wakati mwingine hapokei au hata kuikata akilenga kukuonyesha ya kuwa hakuhitaji huku wewe ndipo roho yake inadundia.................hizi mind games lengo lake ni kuinua hamu yako kwake..............kwa kufifilisha matarajio yake kwako ingawaje kwa kukumwagia changa machoni........

b) Kukupa majibu ambayo anajua hutapendezewa nayo...............lengo hapo ni kukuonyesha ya kuwa bado haujaingia akilini kwake lakini kumbe mambo ni kinyume chake....................

c) Kukupiga kalenda hasa akiona umemwelemea kwa khoja ya kumdo na sasa atakiwa kukulambisha sukari..........lol

kwa ufafanuzi zaidi jisomee hii mada.................The minds games men play

Nani hunufaika zaidi kati ya binti na kijana kwenye hizi mind games? Hilo ndilo swali langu la leo Jmosi.............enjoy your weekend...........

Last edited by a moderator:
Hivi watu wa 'one night stand' nao hua wanatongozana mpaka baadae wanakaa chini na kujiuliza "mbona mambo yamebadilika?!" ...??!

Nwy kujibu swali lako inategea na huyo nwenzi alivyo.
1. Kama ni wale wakionyeshwa wanapendwa wanaleta visa then mwenye hizo 'mind games' atafaidi kutofanywa tambara la kudekia.
2. Kama ni mpendaji kweli na anaetaka kupendwa kweli mwenye 'mibd games' anaweza akaishia kupata hasara kwakuachwa solemba na mtu ambae yeye alimpenda nae alimpenda yeye.
3. Kama sio mpendaji kweli atafaidi mwenye 'mind games'
n.k
Kwahiyo it all depends on the partner, his/her true feelings and intentions towards the 'mind games' player.
 
One night stand inaweza kutoa matarajio ya kuwa huu ni mwanzo wa safari.................na safari inapoota mabawa aidha kwa muda au kwa muda mrefu ujue changamoto hujitokeza....maoni yako mengine nimeyaafiki bila ya kuongezea chumvi zangu.......
 
Anayefanyiwa mind games ndo anafaidika coz zinamsaidia kuendelea kupenda deeply zaidi. But mind u, kama kitu kingine chochote, zikizidi zinaua upendo woote!

mtendewa hawezi kuwa anafaidika ila ni mwathirika kwa sababu analetewa mambo ambayo yeye hayahitaji.................anahitaji mambo yote yawekwe mezani lakini hayawekwi......ni kwelii too much of anything is harmful
 
Haya ni mambo yenu vijana wa siku hizi. Wazamani ni "peace & love" mwanzo mwisho!!

labda useme hujakutana nazo.....................lakini hizi zilikuwepo enzi za mababu na mababu.....................husababishwa na khofu na kutojiamini kwenye mahaba na ndiyo maana mbinu za kuchunguzana kiwango cha mahaba ya mwenzio hujitokeza na msukumo wake huwa ni mkubwa sana..............hata kuna filamu ilitengenezwa Marekani kule Hollywood iitwayo..................TWO CAN PLAY THAT GAME...............
 
Haya ni mambo yenu vijana wa siku hizi. Wazamani ni "peace & love" mwanzo mwisho!!

labda useme hujakutana nazo.....................lakini hizi zilikuwepo enzi za mababu na mababu.....................husababishwa na khafu na kutojiamini kwenye mahaba na ndiyo maana mbinu za kuchunguzana kiwango cha mahaba ya mwenzio hujitokeza na msukumu wake huwa ni mkubwa sana..............hata kuna filamu ilitengenezwa marekani kule Hollywood iitwayo..................TWO CAN PLAY THAT GAME...............

Last edited by a moderator:
hii sekta ni pasua kichwa
inaweza kukutia hat ataki
kwa kizazi cha zamani haisaidii sana inaumiza tu...

Ni kweli...................siku hizi imezidi kipimo.......
 
Anayefanyiwa mind games ndo anafaidika coz zinamsaidia kuendelea kupenda deeply zaidi. But mind u, kama kitu kingine chochote, zikizidi zinaua upendo woote!

Kweli shanganzi, mie enzi zangu nilifanyiwa 'mind game' miaka mitatu. Sasa wakati 'nenda rudi' pale kwao nikawa napagawa sana............iweje mtu naenda kumsalimia kwao nakaa sebuleni for one hour ndo mtu anatoka chumbani kuja kuja nisalimia. Kumbe wakati wa nenda rudi zangu kuna ambaye alikuwa anashangaa iweje kidume niko serious mwenzake anaendekeza libeneke la'mind games'!

Yule mdada jirani kwa kuwa alikuwa anajua nnapokuja huchukua zaidi ya one hour mhusika kuja nisalimia, akawa anakuja kuua soo kwa kunipa company wakati rafikiye anajishebedua huko chumbani kwao! hapo ndo nilipohamishia majeshi na ndiye niliyenaye hadi leo, Lizzy aliongea kweli. Baada ya hapo ukazuka ugomvi mkubwa wakati naenda kutoa 'mahari' ambao haujaisha hadi leo..........imagine 15 years na nilizushiwa mengi ila ukweli ulibaki palepale, mtu alichezea opportunity iliyokuja mbele yake. Baada ya miaka kumi ndo tunasalimiana when we meet. alikuwa anauchuna kinoma.

Huwa tunacheka sana tunapojikumbushia haka kastori. Ila wanawake wanajua kuwinda aiseeee, within no time kidume akili na mawazo yote yalihama toka kwa mind game player hadi kwa huyu mwandani wangu, lol!
 
asante mchungaji
yaani kuna watu wana ovaduu
hati inakatisha tamaa kwa old skul
unajiweka pembeni, kumbe hata haieleweki

Yeah we are too tired with these emotional mind games........it is a Mad mad World..............
 
Ile movie ya "two can play that game" ni ya siku nyingi kidogo lakini ina ujumbe unaofanana na huu ina maudhui yafuatayo..........

When it comes to matters of the heart, keeping her man happy and committed is all in a day's work for Shanté Smith. Shanté is so adept at navigating the waters of romance that her best girlfriends Diedre, Karen and Tracye depend on her for advice whenever "man trouble" clouds the horizon. But when Shanté's boyfriend Keith is caught red-handed stepping out with a co-worker, Shanté institutes her "Ten Day Plan" to get her man in line. Whether its sexy lingerie or good home cooking, Shanté has an arsenal of weapons designed to bring a man to his knees...and back to her. She's not above playing the damsel in distress or using the ever-reliable local grapevine to get Keith's attention. It's all good, because getting her man back - by any means necessary - is all that matters. Unfortunately the happy ending that Shanté expects goes sideways when Keith begins following the advice of his buddy Tony, who brings a player's perspective to the games girls play. In this comedic battle of the sexes, Shante's about to discover that not only are there no rules - she's not the only one playing. With her relationship at stake and her friends checking her every move, Shanté has to think fast and stay a step ahead of Keith if she has any hope of bringing her man back...with her pride intact
 
Kweli shanganzi, mie enzi zangu nilifanyiwa 'mind game' miaka mitatu. Sasa wakati 'nenda rudi' pale kwao nikawa napagawa sana............iweje mtu naenda kumsalimia kwao nakaa sebuleni for one hour ndo mtu anatoka chumbani kuja kuja nisalimia. Kumbe wakati wa nenda rudi zangu kuna ambaye alikuwa anashangaa iweje kidume niko serious mwenzake anaendekeza libeneke la'mind games'!

Yule mdada jirani kwa kuwa alikuwa anajua nnapokuja huchukua zaidi ya one hour mhusika kuja nisalimia, akawa anakuja kuua soo kwa kunipa company wakati rafikiye anajishebedua huko chumbani kwao! hapo ndo nilipohamishia majeshi na ndiye niliyenaye hadi leo, Lizzy aliongea kweli. Baada ya hapo ukazuka ugomvi mkubwa wakati naenda kutoa 'mahari' ambao haujaisha hadi leo..........imagine 15 years na nilizushiwa mengi ila ukweli ulibaki palepale, mtu alichezea opportunity iliyokuja mbele yake. Baada ya miaka kumi ndo tunasalimiana when we meet. alikuwa anauchuna kinoma.

Huwa tunacheka sana tunapojikumbushia haka kastori. Ila wanawake wanajua kuwinda aiseeee, within no time kidume akili na mawazo yote yalihama toka kwa mind game player hadi kwa huyu mwandani wangu, lol!

mara nyingi huishia kwa mwosha kuoshwa huku akidondokwa na machozi.....
 
[h=2][/h]
Its crazy crazy crazy
mtu anazima simu siku 3 bila sababu
eti kisa um-miss

ukute sasa unayefanyiwa ming games ni Paranoid
inakuwa patamu maana waweza ua.

dawa ni kuhakikisha ya kuwa mwosha naye anaoshwa angalau kidogo kama kwenye ile picha ya TWO CAN PLAY THAT GAME..........
 
hahahaha, huo sasa wazimu! na hiyo simu anapiga mpenzi alone? i cant tolerate mind games kuhusu mawasiliano aisee! thank God i am a phone addict, and i hang only with fellow addicts! mpphhheww!
Its crazy crazy crazy
mtu anazima simu siku 3 bila sababu
eti kisa um-miss

ukute sasa unayefanyiwa ming games ni Paranoid
inakuwa patamu maana waweza ua.
 
Back
Top Bottom