Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,450
- 25,591
Nyinyi watu nani kawalogaaa?????? Mbona wote ni vilaza....? Maana ya hilo andiko ndo nini....Yani unataka ku-justfy ushenzi wa ubaguzi wa kidini kwa ku-miss quote biblia...Eti kisa unaongozwa na roho....Pathetic fool x2. Sasa naanza kuamini kwanini kipindi kile cha machafuko ya kuchinja kule kanda ya ziwa ni walokole ndo walishiriki zile vurugu kwa kisingizio eti wnaongozwa na roho......Enyi wana kutoka kuzimu nani kawalogaaaa????mkuu nyenyere huyu jamaa tedo anasema anamwamini Yesu then anatukana watu name pia ni mhanga wa matusi yake. natamani ningemfundisha haya mambo lakini inaonekana ni roho nyingine hii. Maana mimi nimesema maandiko yanasema msifungiwe nira pamoja na wasio amini bana wee jamaa kaja kama moto wa kifuu hata bila kuuliza nini maana ya andiko hilo! msamehe bure tu.