Mimi ni binti, natafuta kazi ya uhudumu wa kwenye basi

mtoto wa kipare

Senior Member
Jan 3, 2018
187
196
Habari za majukumu wakuu

Mimi ni binti umri wa miaka 27, ni mkazi wa Dar es Salaam, nimejitokeza kwa jukwaa hili leo nikiwa na uhitaji wa kazi kama (hostess/kondakta wa kike) katika kampuni za mabasi yaendayo Dodoma, Singida au Kilimanjaro nikiwa na maana Moshi na Arusha.

Ningeomba msaada kwa mtu yoyote ambaye ataweza kuwa na connection katika kampuni za mabasi tafadhali naomba msaada wenu wakuu kuweza kutimiza lengo.

Mawasiliano yangu ni +255 787 695 245

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Akhasenti.
 
Hizo kazi ni za kujuana na huwa hazitangazwi, kama una nia nenda kwenye maofisi ya mabasi anza kuzoeana na watu tafuta abiria utaaminika ndipo ujue bus gani lina uhitaji, au gari mpya zitakaponunuliwa unaweza kufikiriwa. Magari ya Arusha moshi hostes wote ni wachaga na wanapendeleana ukabila umejaa.

Kampuni ambazo hazina ubaguz ni ABC za singida hapo unaweza pata kazi kirahisi, makampuni mengine mengi wanapendelea wanaume mfano shabiby za dodoma, kimbinyiko pia kujuana sana. Ushauri wangu jaribu ABC pale manzese wanaofisi zao.

Au tafuta ofisi za RATCO za tanga naona kampuni inarud na wamenunua mabas mapya. Ukiwa serious nitakuunga na mtu wa ABC,

Halaf usipende kutoa mawasiliano mtoto wa kike utatafunwa humu na connection usipewe, penda kutembea sehem husika za kazi unazotafuta kabla ya kuna kuomba msaada.

Njia nyingine nenda stand pale mbezi mwisho kaonane na VEKO polisi anayetoa magar anajuana na matajiri weng ni rahis kupewa kazi kwa mgongo wake. Ila bana mapaja kwanza mpaka upate kazi maana hawachelew kuomba utelezi. Kaz kwako
 
uhalisia kabisa na uamuzi ubaki kwake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako.
 
umetoa ushauri mzuri sana
 
Umemaliza mkuu!
 
Muonekano wako (sura na shape) na sauti yako huwa vina mchango katika kuipata hiyo kazi pamoja na kujuana.
Sasa weka hata kapicha hapa ili kuongeza CV😀
 
Back
Top Bottom