Mimi kuoa basi tena

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
muda umekwenda sana,kila ninayekutana naye ana mapungufu ambayo siwezi kuyavumilia
huyu niliye naye ni wa mwisho,nitakaa na wale watoto wangu niliozaa na wale wamama wengine na kuwalea
nafikiri ni kosa kubwa kuishi miaka mingi bila kuoa!!!!!!shunguliiiii lakini nitaweza!
 
hiyo nyekundu inaonesha hata wewe hujatulia so hiyo ni sufuria na mfuniko lazima mvuke ubaki ndani.au waswahili wasasema ngoma drooooo!
 
muda umekwenda sana,kila ninayekutana naye ana mapungufu ambayo siwezi kuyavumilia
huyu niliye naye ni wa mwisho,nitakaa na wale watoto wangu niliozaa na wale wamama wengine na kuwalea
nafikiri ni kosa kubwa kuishi miaka mingi bila kuoa!!!!!!shunguliiiii lakini nitaweza!

Mkuu kuishi na mwanamke ni kazi sana,inahitaji moyo wa ujasiri na uvumilivu wanawake wana maudhi sana,haitakiwi uwe legelege ukitaka kuishi vizuri na mwanamke,haitakiwi akuelewe tabia yako kiundani pamoja na mapungufu yako,unatakiwa uwe kinyonga halafu uwe ni mtu wa kujiamini,usiwe mtu wa kukata tamaa hata kama jambo liko juu ya uwezo wako ukilishindwa ionekane ni bahati mbaya tu......................................................
 
muda umekwenda sana,kila ninayekutana naye ana mapungufu ambayo siwezi kuyavumilia
huyu niliye naye ni wa mwisho,nitakaa na wale watoto wangu niliozaa na wale wamama wengine na kuwalea
nafikiri ni kosa kubwa kuishi miaka mingi bila kuoa!!!!!!shunguliiiii lakini nitaweza!

Pole sana episodes! Kwani ulikuwa na wangapi? Mvumilie tu huyo unaemwita wa mwisho muweze kusaidiana kulea hao watoto ingawa raha kamili ya mtoto hupatikana kwa mama yake mzazi na sio mama wa kambo.

Namshukuru sana mama kwa kutulea vizuri na hakutuacha tulelewe na mama wa kambo kwani sidhani kama mama wa kambo ana uchungu juu yetu km ule alionao mamangu mzazi.
 
muda umekwenda sana,kila ninayekutana naye ana mapungufu ambayo siwezi kuyavumilia
huyu niliye naye ni wa mwisho,nitakaa na wale watoto wangu niliozaa na wale wamama wengine na kuwalea
nafikiri ni kosa kubwa kuishi miaka mingi bila kuoa!!!!!!shunguliiiii lakini nitaweza!
mweh!))))))))))))
 
Hakuna binadamu asiye na mapungufu Mkuu. Nina hakika hata wewe kama binadamu una mapungufu yako. Ingekuwa waoaji wa waolewaji wote wanatafuta asiye na mapungufu hapa duniani basi kusingefungwa ndoa hata moja. Kila la heri katika maamuzi yako.
 
Back
Top Bottom