Millya kupewa kadi ya Chadema kijijini kwao

Tume ya Katiba umenena sawa! Huyu dogo njaa zinamsumbua anafikiri anaweza kurekebisha maisha yake kwa kuitumia CCM? Siasa za kuchumia tumbo zimepitwa na wakati kesha ona hana nafasi yoyote CCM itakayo mpatia kula 2015 ndo maana kakimbilia huko tuone naona anautafuta Ubunge tu!

Toka lini ubunge umekuwa haramu? ukipenda meza usipopenda tema lakini safari ya Ole Sendeka imeshaanza, CDM hawaangalii nyani usoni ila cha muhimu ni viti vingi ndani ya Bunge kwanza
 
Back
Top Bottom