SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,803
- 1,863
Kama askofu Millingo kampa mkenya uaskofu basi kwa Padri Felician Nkwera asiwasiliane naye ili naye apewe uaskofu.
Wanamaombi mnasemaje huko mlipo. Changamkieni hiyo tenda ili Nkwera awe askofu.
Maana akifa Nkwera sasa hivi hamna padri tena. Nkwera na Millingo hawatapoteza kitu maana hawataondokana na hali walizo nazo sasa.
Mnaonaje hili?