Milioni 5 hii hapa, nipe kiwanja Dodoma mjini

kzba

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,356
789
Haina haraka kivile, mwenye nacho tufanye biashara
Maeneo ni ilazo, kisasa, yan kisizidi 5km toka town
Kiwe kimepimwa i mean cha serikali.
Niko serious
Ofa yangu ndo hyo fixed.
Tapeli usijisumbue mi ni mtata
Karibuni
 
Umeweka angalizo kwa matapeli kabisa?
 
Haina haraka kivile, mwenye nacho tufanye biashara
Maeneo ni ilazo, kisasa, yan kisizidi 5km toka town
Kiwe kimepimwa i mean cha serikali.
Niko serious
Ofa yangu ndo hyo fixed.
Tapeli usijisumbue mi ni mtata
Karibuni

Mkuu vipi kwa Nachingwea? Kipo km 5 toka mjini yaani center. Unapata kwa 4.8m.. Ni 25*30m.
 
Nachingwea tena mkuu....!!!!?????
Kule tayari ipo nyumba ya urithi uhindini karibu na nampula guest house na tunauza hatuna mpango wa kuishi huko mdau
 
Teh teh teh teh,inferiority complex ipo mingi sana juu yako mkuu,kwa utafiti wang wa haraka haraka watu wa sampuli yako ndio huwa mnapigwa kiboya sana aisee,take care

Nani mimi
Nenda kaulize pori la bihalamulo, geita, na muesi tunduru au nenda central hapo uliza kubengo utaambiwa tu
Au we fanya uingie anga zangu
Utasimulia hapa
 
Hahaaaaaaaa,ngoja kama vipi niipitie hyo Milioni 5 yako ndio ujue kuwa mimi ni shababy au laaa,we unataja maporini huko wakati matapeli wote wako mjini wanakula raha tu,sasa hivi utaitwa Kolo mkuu, ngoja mkuu mrangi mzee wa mishen town aupate huu mchongo uone kazi, nakupa siku 2 tu utakuja humu na uzi wa kumtafuta mwizi wako
 
Last edited by a moderator:

Kuna jamaa mmoja niliishi nae Monduli town akiwa anafanya kazi jeshini TMA

Jama alikuwa anajitangazia ubabe kinyama na kuwa ye mtoto wa mjini na mtata kuliko melezo

SIku wanaume wamemuacha kapotea njia kaingia cha kike kuacha kamera na kubeba kipande cha chupa kilichonakishiwa akidhani kipisi cha madini ilikuwa soo.....

....hahahaaa acha mchezo kuna watu mjini sio watata ila wanajua kucheza na akili za watu mbaya.......yaani pipo hazina physical strength lakini vichwani achana nao
 
mjini noma mkuu,kuna watu hawakabi,hawavunji lakini wanaishi kwa midomo yao tu,tena wanadrive mandinga ya maana unashangaa sijui kazifumania wapi anapiga starehe za hatari halafu hata hawazi kama hela zinateketea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom