Miliki kilichopimwa chenye hati kwa tsh 1000 tu kwa siku.

Nov 21, 2016
5
4
NEEMA YA AJABU IMESHUSHWA!

Miliki kiwanja kilichopimwa

kwa Sh. 1,000 tu, kwa siku!

· Kina hati ya Serikali, utalipa kupitia simu yako

· Umeme na maji tayari vimefika kwenye mradi

· Treni ya “Standard Gauge” itahudumia mradi

Miongoni mwa mahitaji muhimu ya mwanadamu ni makazi salema, yenye huduma muhimu kama maji, umeme, barabara, reli, shule, hospitali na masoko. Tafiti zinaonesha kuwa, Watanzania wengi hasa wa mijini wanashindwa kuwa na makazi yao kutokana na ugumu wa kupata mamilioni ya fedha kwa wakati mmoja ili kununua viwanja. Kwa kuzingatia hilo, Kampuni ya Vumkoga Investments Ltd kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kisarawe, wametoa fursa kila mtu hata yule mwenye uwezo wa kupata shilingi 1000 tu kwa siku, kumiliki kiwanja kilichopimwa na chenye hati ya serikali, tena kikiwa katika “mji mpya” uliopangwa kitaalamu. Tafadhali fuatilia makala haya uone jinsi ya kuchangamkia fursa hii.

Kulingana na maelezo ya Wakurugenzi wa Vumkoga Investments Ltd, bwana Abutwalib Shabani Mwishehe na Injinia mzala Mohamed Juma, mradi huu wenye huduma zote za kijamii, unajumuisha viwanja 1000, vilivyopimwa kitaalamu na kutengwa maeneo ya makazi, biashara, viwanda, huduma za kijamii kama vile shule, hospitali, masoko na maeneo ya nyumba za ibada, hivyo watakaobahatika kuwa sehemu ya mradi, wataishi maisha ya kisasa.

Mradi unajulikana kama MZENGA VILABWA LAYOUT 1, na tayari watu wameanza kuchangamkia viwanja hivyo kutokana na ubora wa mradi unaomwezesha mtu wa kipato chochote kujipatia makazi si bora makazi, bali ni makazi bora na salama.

“Unajua tatizo la watu wengi si kujenga nyumba, bali ni kupata kiwanja chenye uhakika. Bei za viwanja ni kubwa na Watanzania wengi hawawezi kupata fedha kwa wakati mmoja kunuinua kiwanja, kisha wakaendelea na maisha. Hata njia ya ukopaji kwenye mabenki na taasisi za kifedha si rafiki kwa mtu asiye na mali isiyohamishika. Ni kutokana na ukweli huo, tukaandaa mradi huu ambao unatoa fursa hata kwa mama lishe, muuza chips au samaki, kuweza kumiliki kiwanja kwa kuwa anaweza kulipia kiasi cha shilingi 1,000 moja tu kwa siku na akawa mmiliki wa kiwanja kilichopimwa na chenye hati ya serikali,” alisema bwana Abutwalib na kusisitiza:

“Sasa kila mwenye nia ya kumiliki nyumba, amepata mkombozi kwa kuwa ni vigumu kwa Mtanzania hata muuza karanga kushindwa kupata 1,000/= kwa siku na kuitumbukiza kwenye simu yake ikafika kwenye akaunti yake ya kulipia kiwanja na wakati huo, akiwa tayari anamiliki kiwanja hicho.”

UPEKEE WA MRADI HUU

Miongoni mwa sifa za pekee za mradi huu ni kuwa uko kwenye eneo la kimkakati, lenye miundombinu rafiki inayokuwezesha kufika katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ndani ya nusu saa au hata saa moja tu kutokea kwenye makazi yako, yasiyo na msongamano wala utitiri wa nyumba zilizojengwa ovyo ovyo.

Mradi wa MZENGA VILABWA LAYOUT 1, upo umbali wa klomita 20 tu kutoka Mlandizi na ni Kilomita 40 kutoka Kisarawe, au Kilomita 20 ukitokea Mango na ukitokea eneo la Pugu, ni Kilomita 45. Na pia, mradi upo umbali wa mita 200 kutoka katika Stesheni ya Mzenga ya Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA).

Habari njema zaidi ni kuwa, mradi huu unapitiwa na Treni ya Kisasa ya Standard Gauge, uliozinduliwa hivi karibuni na Rais John Pombe Magufuli, itakayofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Morogoro kwa saa moja tu, hivyo safari ya kutoka kwenye mradi hadi katikati ya jiji itamchukua msafiri kati ya dakika 20 hadi 30.

JINSI YA KUWA SEHEMU YA MRADI

Mmoja wa viongozi wa kampuni hii, Injinia mzala, ambaye ni mkurugenzi wa vumkoga, anasema kuwa ili mtu kuwa sehemu ya mradi, yaani kumiliki kiwanja, anapaswa kutembelea ofisi za kampuni kama zinavyoonekana mwisho wa makala hii, kisha kuoneshwa mchoro wa ramani ya viwanja na kupewa maelekezo yanayomwezesha kuchagua kiwanja anachotaka, kwani vipo vya ukubwa tofauti.

Baada ya kuchagua kiwanja na kukiona, atapaswa kulipia fomu shilingi 20,000/=, Bima ya Mkopo Shilingi 30,000/= na malipo ya awali (Advance Payment) Tshs. 100,000/=, hivyo jumla ya malipo ya awali ni Tshs 150,000/= tu na baada ya hapo, aamue jinsi anavyotaka kulipa kiwango cha chini kikiwa ni shilingi 1,000/= kwa siku au kulipa kwa wiki shilingi 7,500/=, na AMA kwa mwezi ni shilingi 30,000/=. Mhusika atachagua njia anayoona bora kwake.

Huna haja ya kuhangaika kupeleka malipo ofisini, mradi umeandaa namba maalumu ya Tigo iliyosajiliwa kwa ajili hiyo. Ukikamilisha mikataba, utapewa kwa ajili kulipia. Ni rahisi kwani utalipa katika mfumo ulio rasmi kama vile unavyolipia huduma zingine kwa njia hii.

KWANINI BIMA?

Injinia mzala anasema kuwa waliandaa utaratibu wa bima kwa kuwa mkopo ni wa muda mrefu na pia, bima hiyo itakuwa msaada ikiwa janga lolote la kibinadamu litamtokea mhusika kabla ya kumaliza kulipia kiwanja.

Mfano, kama mhusika atafariki dunia au kupata janga kubwa ambalo linamfanya apoteze uwezo wa kuendelea kulipia mkopo, basi bima itafidia kiasi kilichosalia na yeye au warithi wake hawatawajibika na deni hilo.

Akifafanua kuhusu mchanganuo wa viwanja na gharama zake, Injinia mzala alisema kiwanja cha makazi kinauzwa kwa shilingi 4,000, kwa sqm mita moja, wakati kile cha kibiashara ni Sh. 5,000 na vya huduma za kijamii kama vile nyumba za ibada, shule na hospitali, ni sh.3,000.

Hivyo, kiwanja cha kawaida chenye ukubwa wa SQM 600, gharama yake ni Tshs 2,400,000, ukitoa malipo ya awali Tshs 100,000, inabakia Tshs 2,300,000, ambazo kama mtu ataamua kulipia shilingi 1000 kwa siku, basi atalipa kwa miezi 77, ambayo ni sawa na miaka sita tu.

Tofauti na mikopo mingine yote duniani, mradi huu mteja analipia kile anachopaswa kulipa, hakuna riba hata senti tano, kwani hata yale malipo ya 100,000 ya awali yanaingia kwenye hesabu za jumla. Viwanja vipo kwa ukubwa tofauti kuanzia Sqm, 600, 700, 800, 1000. Viwanja vimepimwa tayari na ni jukumu la mhitaji kuchagua anachotaka mapema kabla ya havijaisha.

FOMU ZINAPATIKANA OFISINI KWETU

Kariakoo, Mtaa wa Kiungani Plot No. 3 Ghorofa ya 8, mkabala na ofisi za mabasi ya mwendo kasi, Gerezani. Kwa mawasiliano zaidi, fika ofisini Kariakoo au piga simu

0715 97 3391, 0652 49 66 63, 0787 85 74 85, 0744 73 16 73

Imeandikwa na Mhariri Gazeti la Nyakati tarehe 20/08/2017
Ukurasa wa 15

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endapo nikachagua malipo ya Tsh 1000 lakini siku nina 50,000 naweza kuilipa?
 
Umeeleweka nitafika hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo cha viwanja hvyo ni nini?
Na Hyo INV.COMP imetoa wap mamlaka ya kubnafsisha viwanja ? @Dr.Salim

Stop NOT,fear NOT-Grab yo destiny
 
Umesema vipo mita 200 toka inapojengwa reli std, ipi ile ya Tazara au central line? Kama ni central line ni upande wa kuja Mlandizi au upi mkuu?
 
Mmmh.. Isije ikawa kama biko, sijui mkwanja .. Etc. hali ngumu sasa hivi kila mtu mjanja mjanja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom