Mikopo platinum

Kigwitina

Member
Jul 11, 2014
59
2
Naomba kuelewesha kama ulshakopa platinum, kuna hasara na faida gan kukopa platinum company kwa mtumishi wa serkal?
 
Chonde chonde usikope kwa hao watu ni majambazi chini ya mwamvuli wa ukopeshaji. Utajuta ndugu
 
Kuna rafiki yangu ni mwalimu,alikopa mil 1 na nusu, mbali na kwamba alikuwa anakatwa laki na ishirini kila mwezi, baada ya mwaka mmoja amelipa million 4 na nusu,mbali na hela alizokuwa anakatwa,ili kumaliza mkopo wote sababu aliona wanakata na deni halipungui.ila kama unakopa ulipe baada ya mwezi mmoja zote huenda riba yao ikawa ndogo ,ila kwa mkopo wa muda mrefu...kuwa na tahadhari mapema
 
Njaa zmezid sas hv kila m2 anabun njia ya kupata msosi ss ukiwa madenge utaisoma no. tusipende vya bure tufanye kaz jamanii.... wabongo kwa kupenda vya bureeeeee
 
Tafadhali nakuomba usije ukathubutu kuingia huko,utalia,kuna jamaa yangu alikopa only 2ml,ila inatakiwa areje 6 ml point something kwani wanakata 135,00 kwa mwezi na kwa miezi 48,afadhali nmb coz 2ml kwa miaka 3,utarejesha only 2.7ml na 75000 kwa mwezi
 
Asante sana wadau kwa kunifumbua macho achilia mbal baadh ya wapumbavu kuanza kuleta mzaha kwenye coment za mcng!
 
Njaa zmezid sas hv kila m2 anabun njia ya kupata msosi ss ukiwa madenge utaisoma no. tusipende vya bure tufanye kaz jamanii.... wabongo kwa kupenda vya bureeeeee

mwenzako anauliza kama panafaa kukopa unasema wabongo wanapenda vya bure, vya bure nin labda fafanua!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom