Mnyama Vs Asec naona dalili za kupoteza hii game kwa 75%

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
616
789
Kuelekea Simba day tiketi za Platinum ziliisha ndani ya siku moja, wiki moja kabla ya tukio. Simba SC ilitangaza tiketi zote zimeisha siku (2) kabla ya Mchezo.

Kuelekea African Football League tiketi za Platinum ziliisha ndani ya siku moja, wiki moja kabla ya tukio.

Michezo ya mwisho ya Simba :

◎ Simba 2 - 2 Al-Ahly Cairo
◎ Al-Ahly Cairo 1 - 1 Simba
◉ Simba 2 - 1 Ihefu
◎ Simba 1 - 5 Yanga
◉ Simba 1 - 1 Namungo

Zikiwa zimesalia saa kadhaa Kuelekea mchezo dhidi ya ASEC Mimosas mpaka sasa tiketi za Platinum ambazo huwa hazizidi (200) hazijaisha ikiwa tiketi zilianza kuuzwa wiki 1+ iliyopita. Hakuna sold out ya eneo lolote mpaka sasa.

Utaratibu wa Simba SC kuonesha graph ya mauzo ya tiketi awamu hii haupo kwa sababu ni tiketi chache sana zilizouzwa kiasi kwamba uongozi wa Simba kupitia kwa Mo Dewji umeamua kushusha bei ya tiketi za mzunguko ambapo ndipo hukaa mashabiki wengi. (Elfu 40) kutoka Tsh elfu (5) hadi elfu (3).

Bila shaka yoyote, hali ikienda hivi Jumamosi watu wataingia bure (Fungulia mbwa).

𝗜𝗻𝗮𝘁𝘂𝗳𝘂𝗻𝗱𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗻𝗶𝗻𝗶?

Hii inatufundisha viongozi, mashabiki na wadau wa soka kuwa, MATOKEO BORA UWANJANI ndio HAMASA kubwa inayoweza kuwaleta Watazamaji uwanjani...

Na sio kitu kingine.
 
Upo sahihi katika maelezo ya upande wa mashabiki ila sijaona popote ulipozingumzia kuhusiana na kichwa cha habari ulichoandika
 
Kuna uwezekano simba ikashindwa kupata matokeo mazuri kwenye mechi zake nyingi zijazo kwakuwa kuna vitu vya msingi hasa eneo la timu usimamizi na utawala wa wachezaji bado hapajapoa.....

Angalizo : wakileta kocha mpya wa magumashi basi mechi ya yanga atapigwa tena mkono 😆😆😆😆

Mzimu wa goli tano unataka utatuzi sahihi nasio kutoana kafara😆😆😆
 
Kuna uwezekano simba ikashindwa kupata matokeo mazuri kwenye mechi zake nyingi zijazo kwakuwa kuna vitu vya msingi hasa eneo la timu usimamizi na utawala wa wachezaji bado hapajapoa.....

Angalizo : wakileta kocha mpya wa magumashi basi mechi ya yanga atapigwa tena mkono

Mzimu wa goli tano unataka utatuzi sahihi nasio kutoana kafara
Tatizo hili KONO LA NYANI limekuja muda mbaya.
 
Kesho kuna timu inaenda kulifedhesha Taifa kwa kushushiwa kipigo kizito kwenye uwanja wa nyumbani.
 
Back
Top Bottom