Mikopo katika ma-benk yetu tanzania

wizaga

Member
Nov 27, 2011
70
8
Jana nimetembelea benk ya nmb kwa ajili ya kupata mkopo kwa watumishi wa halmashauri,kitu ambacho kimenishitua riba .
  1. nikaabiwa kama mshahara wako ni millioni mojakwa miaka minne utapata kiasi furani kwa asilimia 18 na zaidi ya hiyo utapata asilimia zaidi ya ishirini HUU MIMI NAUITA KUMUUWA MTUMISHI.
  2. NI BANK IPI BASI INATOA ASILIMIA NAFU KWA ASILIMIA YA CHINI NA MUDA MREFU NA KWA HARAKA ZAIDI NAOMBA MSAADA KWA HILI
 
karibu finca tunatoa mkopo wa biashara nadhani utakufaa zaidi,riba sio kubwa kivile!
 
Bank ni nyingi sana mjini hapa..jaribu ecobank,amana,uba,fnb,equity benki zinazoanza riba inakua chini sana
 
Jana nimetembelea benk ya nmb kwa ajili ya kupata mkopo kwa watumishi wa halmashauri,kitu ambacho kimenishitua riba .
  1. nikaabiwa kama mshahara wako ni millioni mojakwa miaka minne utapata kiasi furani kwa asilimia 18 na zaidi ya hiyo utapata asilimia zaidi ya ishirini HUU MIMI NAUITA KUMUUWA MTUMISHI.
  2. NI BANK IPI BASI INATOA ASILIMIA NAFU KWA ASILIMIA YA CHINI NA MUDA MREFU NA KWA HARAKA ZAIDI NAOMBA MSAADA KWA HILI

Sijuhi huwezi pata chini ya hapo ndugu yangu, Tembelea benki zote bongo!
 
tana nmb ndo wana riba ndogo, kwingine ni 19 mpaka 22. Pia ukumbuke, kadri muda unavyokua mrefu riba huongezeka,kwani ''the longer the period,the higher the risk of default'' tataizo la bank kubwa ni milolongo mireeeeeefu....
 
mabenki ni wezi tu... mimi nilichukua mkopo wa milioni tanio CRDB iringa, lakini natakiwa kurudisha jumla ya shilingi milioni 7.5 kwa miaka 4, huu si wizi? hebu piga hesabu ni asilimia ngapi uone kama huu si wizi... wanatamkaga tu eti asilimia kumi na nane au ngapi lakini kiuhalisia ni hela nyingi sana wanatula hawa watu
 
sifikirii tena kukopa bank, ni mzigo ndugu yangu....!!!!! Labda kama ni kuanzia milioni 100 na kuendelea kwa miradi mikubwa ,,, lakini hivi vi milioni 10 -15, utaumia...
 
Jana nimetembelea benk ya nmb kwa ajili ya kupata mkopo kwa watumishi wa halmashauri,kitu ambacho kimenishitua riba .
  1. nikaabiwa kama mshahara wako ni millioni mojakwa miaka minne utapata kiasi furani kwa asilimia 18 na zaidi ya hiyo utapata asilimia zaidi ya ishirini HUU MIMI NAUITA KUMUUWA MTUMISHI.
  2. NI BANK IPI BASI INATOA ASILIMIA NAFU KWA ASILIMIA YA CHINI NA MUDA MREFU NA KWA HARAKA ZAIDI NAOMBA MSAADA KWA HILI

Maelezo yako hayatosheleze. Ni 18% on principal kwa miaka yote minne au 18% kwa salio la mkopo (reducing balance) au ni 18% on principal mara miaka minne.

Hata hivyo NMB bado ni benki yenye riba nafuu ukilingalisha na benki na taasisi zingine zinazofanya kazi ya "kupunguza umaskini" kwa kuwanyonya maskini

Back
Top Bottom