marato huwa aniudhi sana. anafanya mzaha kwenye habari. al jazeera, citizen au CNN kungekuwa na wapuuzi kama hao zingekuwa zimeshakufaThere you're
Ni afadhari na Kivuyo huyu George Maratu ndo mtangazaji anayeniudhi kuliko wote nadhani kwa namna anavyovuta sauti yake hadi anaharibu I wish asiongezewe mkataba.
Awe mbunifu, sio lazima aongee yale yale kila siku. Lazima utamsikia: "Timu hiyo kutoka mtaa wa yule mnyama mrefu na mpole..." au "Timu hiyo kutoka mtaa wenye pilikapilika jijini..."
kuangalia vituo vingine nao ni ubunifu?na ww kuwa m bunifu kwa kujaribu kuangalia vituo vingine vya habari,ili uone umuhim na utofauti wa hemedi kivuyo.
Haupo. Wanaume hawana wivuna wivu wa kiume ukoje?
Jamaa yuko poa leo kaipaisha Simba..Huyu anatangaza kwa mbwembwe pale Yanga inapofanya vizuri na Simba inapofanya vibaya...
Ngoja leo tumsikie kwenye game la Simba na Yanga,mbwembwe zote chali...