Migogoro ya viwanja kwisha kabisa.

GAGL

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
390
395
Sasa tumefungua kampuni kwa jina la Nsamy Real Estate and General Suppliers Ltd, kampuni inahusika na uuzaji wa viwanja, majumba, kupangisha nyumba za biashara na makazi, uuzaji wa mashamba. Kwa plot zilizopimwa, tunafuatilia uhalali wa hati wizara ya ardhi sisi wenyewe, kama hakijapimwa pia tutakusaidia kuhakikisha kuwa unapata shamba, nyumba au kiwanja kisicho na mgogoro kabisa ikiwa pamoja na kufanya mpango wa kupima kwa bei rahisi. Pia tunafanya ugavi wa vifaa vya ujenzi, vyakula katika taasisi, vifaa vya ofisini na majumbani, vifaa mbalimbali kulingana na mahitaji na mambo mengine yanayohusiana ugavi. Kampuni imesajiliwa kwa namba 83891, tupo tegeta, kama unahitaji kiwanja, nyumba, shamba, unataka kutengenezewa bustani, mahitaji mbalimbali yanayohusiana na ugavi kama nilivyoanisha hapo juu tafadhari piga 0786 046484 au barua pepe gmwiga@yahoo.com
 
Pia kwa wanaotaka kuuza nyumba, shamba, viwanja au kupangisha nyumba, vyumba au ofisi unaweza kuwasiliana na sisi, 0786046484
 
Back
Top Bottom