Migogoro ndani ya vyama vya siasa

alinanuswe

New Member
Nov 13, 2011
2
0
Nchi yetu ilipoingia katika mfumo wa vyam vingi haikuandaa mazingira mapya ya siasa nadio chanzo kikubwa cha migogoro. Chama Tawala hakikuruhusu mfumo huo kwa moyo mweupe. Katiba ya nchi iliendelea kuwa na vikwazo vingi kwa watu kushiriki kikamilifu katika siasa na badala yake kila chama kikawa na genge la watu wachache wanaoonekana kuwa na hati miliki ya chama.Iwapo utatofautiana tu nao unatupwa nje ya chama. Katiba za vyama hivi haziko sawa. Mfano mzuri ni David Kafurila wa NCCR-MAGEUZI na Ahamad Rashid wa CUF wanapohoji wanatishiwa kuvuliwa uanachama. mimi napendekeza katiba za vyama hivi viangaliwe upya.Asante!
 
migogoro kwasasa haitoepukika,kwasababu ichi ipo kwenye kipindi cha mpito kwahiyo kila mtu anadhani akipata nafasi katika chama anaweza kuitoa hapa ilipo.Pia,mfumo wa vyama vyenyewe unatatizo.Napenda kuwashauri kuacha tofauti zao viungane na kutengeneza chama kimoja chenye nguvu bila hivyo hatutofanikiwa,mf. Mh Wa kafu au NCCR Au CHADEMA au TADEA anavyotaka kugombea urais anafikiri atapata?Hili ni tatizo.
 
Tatizo ni namna wanavyo wasilisha maoni yao nao ni bora wakafuata taratibu za vyama vyao katika kupendekeza mabadiliko haya ndani ya chama si vizuri mtu kukuruka kwenye magazeti badala ya kwenye vikao HALALI vya chama
 
Back
Top Bottom