Miezi sita ya Godbless Lema Bungeni

Jamani acheni jokes tujadili achievement hapa, na kama hakuna basi tuseme ili Mh Lema aamke kwani miaka mitano si mingi jamani

On a serious note try to be objective! Una checklist obvious utakuwa una-monitor progress against hiyo cheki list. Pia unaonekana una nia ya kufanya serious evaluation, sina uhakika sana una maana gani ya kuangalia impact in six month uenda unazungumzia outputs na outcomes etc, all in all ni vyema sana.

Nasuggest uwe objective kwa maana badala ya kuzunguka weka hiyo chekilist wazi tushirikishe kuwa situation kwa sasa iko hivi au vile kulingana na checklist then tutajua way forward nadhani itatusaidia sote. Vinginevyo kama Lema asipo-respond objective yako itakuwa imetimia?

Nakupongeza sana I wish tungekuwa na watu kama wewe some 15 years back labda leo tungekuwa tumeamka zaidi kwa maana ya kufuatilia maendeleo yetu.
 
Vipi machinga complex imekamilika ?,Hospital kila kata zipo ?,Barabara hata km 1 ?.Alichofanya mpaka sasa ni kutoa CD ya mauaji Arusha,Kuhamashisha maandamano na migomo vyuoni.kuhamashisha uvaaji wa nguo za mgambo za CHADEMA.
 
basi we baki na hizo akili zako za kizamani, serikali ni ccm sasa unataka walete maendeleo kwa mbunge wa upinzani? hii ni siasa bibie sio sindimba. Nyie mtarudi CCM 2015 lasivyo mtakiona cha moto.

Hoja ijibiwe kwa hoja. Mheshimiwa Lema alipokuwa anagombea nafasi hiyo alitoa ahadi kwa wana Arusha na utekelezaji wake ulikuwa hautegemei chama gani kitashinda urais. Tukianza kutumia chama kama kinga hatumsaidii Mheshimiwa Lema kwa sababu yeye ataichukulia hiyo kama kinga halafu baadae ije imuangushe. Kwa aina ya ubunge wa nchi yetu, mbunge ni sharti awe na mikono miwili ya kuhemea. Mmoja unategemea serikalini kwa kufuatilia mafungu yatakayotatua kero mbalimbali na kuangalia kama miradi ya maendeleo na ya kijamii inatekelezwa kama serikali kuu na hamlashauri zilivyopanga. Mbunge anao mkono wa pili ambao ni kuhemea kwa marafiki na wadau wa maendeleo ili kusaidia kusukuma ajenda alizozipanga katika muda wake wa utumishi. Sehemu nyingi zilizofanikiwa na wabunge wake kukaa madarakani muda mrefu kama Karatu na Moshi mjini, hivyo ndivyo walivyofanya, hata kama wakati wote huo chama chao kilikuwa cha upinzani.

Ningeelewa kama mtu angejenga hoja kwamba sasa hivi bado ni mapema kumpima mtu, unless kuwe na ahadi ambazo utekelezaji wake ulikuwa ni wa muda mfupi (k.m. siku 100 za mwanzo n.k.), lakini kuipuuza hoja hii ni kukosa utashi.
 
kazi ya mbunge 63(2) nadhani watu wapewe elimu juu katiba, Ccm walijitahidi sana kuwafanya watz waijue katiba, ila siku yaja kila mtz ataiujua
 
Nimesoma kwenye gazeti Mwananchi Lema nae amekubali ndoa ya CDM na CCM, huko Arusha, sasa najiuliza ile CD yake ya maandamano na mauaji ya Arusha aliosema atamplekea Luis Moreno Ocampo (ICC) sasa itakuaje
 
Vipi machinga complex imekamilika ?,Hospital kila kata zipo ?,Barabara hata km 1 ?.Alichofanya mpaka sasa ni kutoa CD ya mauaji Arusha,Kuhamashisha maandamano na migomo vyuoni.kuhamashisha uvaaji wa nguo za mgambo za CHADEMA.
Machinga Complex si alisema atajenga mbili akasema pia atajenga Skyover kwenye jiji la Arusha!
 
to be honest h hoja n ya msing sana na natarajia kuona thread kama hii kwa kila mbunge, 2sisubiri mpaka uchaguz kuwakumbusha wabunge wetu kuhusu ahad zao! Lakn tahadhar 2napojudge 2siwe biased.
 
Kwani Lema ni mbunge au Mfanyafujo ? Mlokole anayehamasisha Vurugu, "HERI WAPATANISHI MAANA HAO WATAITWA WANA WA MUNGU"
Lema mrudie Mungu wako acha kufanya kazi za shetani
 
Back
Top Bottom