Sokwe Mjanja
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 576
- 297
kaka una bahati wewe mshukuru Mungu wako, wenzako mama akiwa na mimba wiki ya tatu tu ugomvi, hataki hata umsalimie kwa kumshika mkono! Wala usimbanie mama, mpe haki yake.
Kuna mchangiaji anasema mtoto atazaliwa mchafu, how jamani? Ina maana huyo mtoto anakuwa wazi tu huko tumboni ukitupia 'wazungu' watamdondokea kichwani? Anyway sababu mi sijui baioloje ngoja ninyamaze