Sulemalean
New Member
- Dec 19, 2011
- 4
- 0
habari zenu wadau..!
Ruksa kunitoa ushamba kwa kile nisi chofahamu.
Ruksa kunitoa ushamba kwa kile nisi chofahamu.
Karibu,,endelea kubarizi nakuletea pipi sasa hivi
alitakiwa aniPM nimpe togwa
alitakiwa aniPM nimpe togwa
Karibu sana mgeni-mwenyeji.
unamjua??
mambo ya multiple id hayo aisee...
unamjua??
si ni wewe na id yako mpya,au uldhan watu hatujakush2kia?