Midadi ikipanda hata nguo nitavua

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,841
Usidhani ni mwalimu mzuri, hapana, hili ni pozi la KUJAMBA

482933_428345983869412_1060362555_n.jpg
 
Hata kama kudharau ni jadi yetu watanzania lakini tujifunze tu kuheshimu wale waliotutoa tongotongo mpaka leo hii tunajidai mitaani kwa kujua kusoma na kutumia mitandao.
 
Sasa ndo angekuwa mwalimu mdada, afu awe amevaa sketi fupi...ungeona Jinsi akina Madenge na akina little John wangekimbilia kukaa mbele...

Full Kula Chabooo
 
Afu ndo aje Njegele aseme madai yetu HAYATEKELEZEKI


Baba V Mimi huwa namdharau na kumtoa maana sana mtu anayemdharau mwalimu.Nasema hivyo kwa kuwa nimeifanya kazi hiyo katika shule binafsi na Serikalini kwa kipindi cha miaka sita,na lengo langu nilitaka kujua changamoto zinazowakabili walimu.Na nilichogundua ni kuwa walimu wanadharauliwa kwa sababu ya uadilifu wao na uwezo wao wa kuishi katika mazingira magumu na wengi wao wakiwa na chanzo kimoja tu cha kipato ambacho ni mshahara,tofauti na sehemu nyingine ambapo pamoja na kuzidiwa scale ya mshahara na walimu lakini wana mianya mingi ya Rushwa kwa mfano Polisi ,watendaji wa vijiji na kata.makarani wa mahakama,wahudumu wa masjala,n.k..Kwa maoni yangu binadamu yoyote mwenye akili timamu alitakiwa amuheshimu mwalimu kuliko mtumishi wa kada yoyote kutokana na kujitoa kwake katika kuhudumia jamii...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom