Microsoft Certified database Administrator books

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
352
Hello JF Exparts

Wakuu katika kutafuta maalifa zaidi najiunga tena kuomba yeyote mwenye training material...books,video training,Question and answers,za mitihani ya MCDBA.Naomba kusaidiwa kuzipata nataka kuanza jisomea mwenyewe..hii ni kulinga na mazingira niliyopo hayani muda mwingi kuwepo shuleni.

Nashukuru kwa kilogwe na wengine kwa msaada wa SQL 2005 Book and Training video kwa sasa nimeshamaliza...kufanya course hiyo na mitihani.

JF Kisima cha maarifa...

Buswelu.
 
Mkuu Buswelu hongera kwa nyendo zako kuelekea MCDBA,ndio tunataka watu kama ninyi,siku hizi watu tunajali nini utatupatia na si nini umesoma so ni changamoto kutafuta prof courses.
Back to ya Point,hapa nina vitu fulani ambavyo nadhani vinaweza kukusaidi so we nitumie e mail yako kwenda kilongwe@qq.com then niangalie jinsi ya kukutumia baadhi ya material.
Tutafika tu,hata Marekani ilianza kama Tz,la muhimu ni kuongea kwa vitendo.
 
Sijakuelewa mheshimiwa.
Andika ombi lako kwa umakini kama unataka matokeo mazuri.

Thanks Exaud...
Nahitaji training material za MCDBA....nikiwa na maana Vitabu,Training video..huwa kuna mitihani yake ambayo huwa ni Q&A...
Video...kama unakumbuka humu humu kilogwe alinitumia za SQL 2005...Zimekukuwa msaada sana kwangu..ndio maana ombi langu lilichanganyikana na shukrani kwa kilogwe na wengine walionipa support kwa vitabu etc....

Samahani kwa kutokuelewaka
Regards
Buswelu
 
Mkuu Buswelu hongera kwa nyendo zako kuelekea MCDBA,ndio tunataka watu kama ninyi,siku hizi watu tunajali nini utatupatia na si nini umesoma so ni changamoto kutafuta prof courses.
Back to ya Point,hapa nina vitu fulani ambavyo nadhani vinaweza kukusaidi so we nitumie e mail yako kwenda kilongwe@qq.com then niangalie jinsi ya kukutumia baadhi ya material.
Tutafika tu,hata Marekani ilianza kama Tz,la muhimu ni kuongea kwa vitendo.

Check ur mail...kilogwe....
regards
Buswelu
 
Buswelu unaweza kushare na sisi hizo training video za SQl 2005?
 
Buswelu unaweza kushare na sisi hizo training video za SQl 2005?

Yes mkuu...ninazo ila ni 800MB....Sijui naweza kukupatiaje mkuu..ila any njia naweza fanya...kama uko maeneo ya tanzania...dar,mza ndio sehemu rahisi kwangu kukupatia....

Nategemea ushirikiano wao
Regards
 
Mngenifahamisha ningeshawawekea hizo materials siku nyingi tu hapa. Niliamua kusimama kuweka materials kwakuwa sikuona kama kuna wenye uhitaji.

BTW: Naanza kudondosha vitu ambavyo najua specialists wa IT mnavihitaji japo wengine hamtaki kusema.

Ni vema kusema nasi tukaangalia namna ya kuwezeshana.

Check here:

Educational stuffs, Downloads + Tutorials
 
Got all of them in 30mnts.Thanks Invisible...ila mzee inabidi tukuchangie kwa namna flani..see next
 
Back
Top Bottom