Michuzi Blog yashindwa kuripoti habari muhimu inayohusu Chama cha Mapinduzi

Michuzi blog ni jukwaa ambalo halikosi kutoa habari inayohus Chama cha Mapinduzi. Lakini leo tangu kupatikana kwa habari ya Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha Ndugu Malya, Michuzi blog haijaweza kueleza taarifa yoyote kuhusiana. Sidhani kama ni kweli hajaweza kupata taarifa hii, ama huwa anaripoti zile habari zenye tija kwa Chama cha Mapinduzi. Jamani, kwa wale ambao wapo karibu na Ankali Issa Michuzi, mpeni tarifa hii ili awahabarishe wanajukwaa wake.

Akisha andika then kibarua kinaota majanai
huyo nae ni kati ya wale watumwa wa vigogo huko IKULU
 
Ila habari ya Lema kupokwa ubunge aliibandika faster pamoja na picha wakiwa mahakamani sasa why cant he use the same source kupata hii ya Milya!
 
Sijawai Kuona Blog ya Hovyo kama hii katika Maisha Yangu!! Hii ni ya Kwanza!! He is so Biased and segregative Shame on him Poor Michuzi na wanaopoteza Muda Kuweka Matangazo!!
Kwa hiyo huwa mnaingia kwake kwenda kubalance ?! Umbea wa kiume huo @ Lyimo !
 
Back
Top Bottom