Michuzi Blog yashindwa kuripoti habari muhimu inayohusu Chama cha Mapinduzi

Lyimo

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,826
2,017
Michuzi blog ni jukwaa ambalo halikosi kutoa habari inayohus Chama cha Mapinduzi. Lakini leo tangu kupatikana kwa habari ya Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha Ndugu Malya, Michuzi blog haijaweza kueleza taarifa yoyote kuhusiana. Sidhani kama ni kweli hajaweza kupata taarifa hii, ama huwa anaripoti zile habari zenye tija kwa Chama cha Mapinduzi. Jamani, kwa wale ambao wapo karibu na Ankali Issa Michuzi, mpeni tarifa hii ili awahabarishe wanajukwaa wake.
 
blog imejaa picha za hovyohovyo na ukiitembelea bandwidth yako itajuta.
 
Huwa si intertain kuipitia blog ya kishenzi na kipumbavu kama hiyo!
 
blog lenyewe huwa halina mvuto,hajipangwa vizuri picha na matangazo vinabandikwa tu bila mpangilio
 
Huwa si intertain kuipitia blog ya kishenzi na kipumbavu kama hiyo!

Acheni mambo ya kitoto, mbona kuna habari na picha kibao za jf zinatoka kwa michuzi na mnafurahia!
Huu ni ufinyu wa kuelewa mambo.
Hakuna source iliyo perfect, zote tunatembelea kubalanced news.

Ukitembelea jf tu unaweza ukadhani waTZ wote ni CDM kumbe siyo.
 
Huyu michuzi ni maskini sn mara ya mwisho kumwona ilikuwa magorofa ya nssf tabata bima alitimuliwa na majembe kwa kutolewa vitu nje na kutupwa chini aliposhindwa kulipa kodi,. Kwa umaskini wake na kibarua alichonaco mwache aendelee kuitumikia ccm ili apate kuishi
 
Nakubaliana na mtazamo wako kwa asilimia chache. Bilashaka utakubaliana kuwa habari za JF zipo balanced. Pamoja na kusema kuwa JF inamtazamo wa CDM lakini kuna registered members wengi sana wa CCM wengine ni viongozi wa ngazi mbalimbali ndani ya chama na serikali. Pia JF ina uhuru wa kurusha ama kuchangia habari bila kujali itikadi, hivyo kwa mtazamo wako umebainisha kuwa CDM ndiyo wanarusha habari/hoja zenye mshiko kuliko vyama vingine. Nijuavyo mimi sote tunanafasi sawasawa.
 
Acheni mambo ya kitoto, mbona kuna habari na picha kibao za jf zinatoka kwa michuzi na mnafurahia!
Huu ni ufinyu wa kuelewa mambo.
Hakuna source iliyo perfect, zote tunatembelea kubalanced news.

Ukitembelea jf tu unaweza ukadhani waTZ wote ni CDM kumbe siyo.
Nani amekuambia JF ni CDM?unajidanganya mkuu..kwahiyo unamaanisha Michuzi anaweka taarifa za CCM tu?
 
who is milya had awekee headline kwenye globu ya jamii hana isue!! we trust on michuzi always ss wajanja....

Kutokuelewa kwako kwa unachokiandika kinadhihirisha kuwa wewe ni mtu wa aina gani. Are you real among the GREAT THINKERS?
 
who is milya had awekee headline kwenye globu ya jamii hana isue!! we trust on michuzi always ss wajanja....
Watu wa kariba hii wanastahili kabisa kuwa mashabiki wa Michuzi blog, maana ndege wafanano huruka pamoja, Muhidin upstairs empty the same thing na huyu dogo hapa.
Hapo kwenye RED umedhirisha kweli wewe ni mjanja haswa tukiwatafuta mambumbumbu wewe huwezi kuwemo!!......
 
Jamani hamjui kuwa Muhidin Michuzi siku hizi ni mwandishi msaidizi wa Rais? Sasa ataandikaje habari za kuidhalilisha serikali ya magamba wakati anaamini blog yake ndo inapendwa kuliko zote duniani! sasa hivi yeye na magamba damudamu hata arumeru mashariki alishindwa kabisa kutoa habari za uchaguzi mdogo mara kwa mara.
 
Blog imekaa vibaya,picture hazina mpangilo, zimekaa nyingi ktk page moja.Inakula bndwidth, inachelwa load.

Nadhani jamaa ni mtoto wa mjini, wenzie wanampatia matangazo with lazy excuse kuwa ni blogger no 1 km anavyojiita.Nadhani its time awe na CMS website angalu awe na page nyingi zinazobeba picture chache.

Nasubiri ona ya Kibonde,kwani intaview zake zote, pia appearance zake km MC nazo zinatia kichefuchefu.Sijui akiwa blogger itakuweje?
 
Blog ni yake na anaamua nini aweke na nini asiweke. Badala ya kutegemea blog za watu na kulialia pale ambapo hawafanyi vile ambavyo mnataka, anzisheni na nyinyi za kwenu.
 
Jamani, hebu mwacheni Michuzi na mambo yake, mnapoteza muda
kwa kujadili mambo ambayo si muhimu. Ninyi mko au sisi tuko Jf kwa
sababu tumekubaliana nayo, Binafsi nimefungua blog ya michuzi mara 3
tu na zote nimeshindwa kufika mwisho kutokana na kuload slow toka hapo
sijawahi kuingia tena na wala sijaja kumponda huku kwani najua ni mjasiriamali
anaganga njaa.
 
Tunapochangia tutizame chuki zetu zisitawale opinion zetu ,otherwise tutakuwa biased. Nashinfwa kuunganisha umasikini wa michuzi na kutupiwa vitu nje na upande mwingine juu ya kuweka habari ya James mallya ambae watanzania wengi pia hawakuwa wanamfahamu.Siasa siku hizi ni mtaji wa watu wachache huwahadaa Wananchi wengi ili wawadhurumu mali na haki zao hususani kwa bara letu la Africa. Mallya anadai amechukizwa na kauli ya "Rais wa 2015 hatatoka Kaskazini" kwani tunachagua rais wa nchi kwa kupaeana zamu kwa sehemu za kaskazini au kusini au tunachagua yule mwenye sifa? Kwa sababu hizi mwingine hataona sababu ya kuweka habari hizi kwenye Blog yake kwani inaweza pelekea kuwatenga wananchi na kuanza kuleta mambo ya ukabila na ubaguzi katika Taifa.
Huyu michuzi ni maskini sn mara ya mwisho kumwona ilikuwa magorofa ya nssf tabata bima alitimuliwa na majembe kwa kutolewa vitu nje na kutupwa chini aliposhindwa kulipa kodi,. Kwa umaskini wake na kibarua alichonaco mwache aendelee kuitumikia ccm ili apate kuishi
 
Sijawai Kuona Blog ya Hovyo kama hii katika Maisha Yangu!! Hii ni ya Kwanza!! He is so Biased and segregative Shame on him Poor Michuzi na wanaopoteza Muda Kuweka Matangazo!!
 
Back
Top Bottom