Michuzi blog,na ushabiki wa kisiasa, mktano ccm watkisa ngome ya cdm maji ya chai arumerumeru east

Blog ya pupet wa magamba, uzushi ndo huu wa hii blog, kwa taarifa yako hapa mchai ndo home, hao watoto na watu walioletwa na hiace tusiojua walikotoka ndo ngome ya cdm? Na hapo mlipotaka kuwapiga wachache walokuwepo baada ya kuonyesha V ilipopita helkopta mbona hamyasemi? kawadanganyeni walowatuma.
 
Sasa mtu kapewa chakula na CCM unategemea aandike ya CHADEMA?
 
Inategemea lengo la mwanzilishi wa blog hiyo kama hutaki unaacha kila binadamu ana mtazamo wake na hiyo ndio demokrasia tunayolilia kila siku kwamba CCM inamiinywa.
 
Jamaa c yuko magogoni pale.. So inabidi aendelee ku-justify uhalali wa kuwepo kwake pale.. Ndo hiyo blog sasa.. inamuweka mjini..
 
Mimi naona watoto wadogo ndio wengi, walienda kushangaa tu. Michizi hana jipya... kaisha kama gamba ccm.
 
Nilikuwa napitia blog ya issamichuzi leo nikaangalia kwa mwenye uelewa wa kawaida utagundua kuwa imeibeba ccm maana imetumia picha nyingi kumnadi mgombea wa ccm-arumeru kwa picha na matukio ambapo yangeweza chukua sawa sawa na mgombea wa ccm,nikashuka chini kidogo nikakutana na picha za wanachadema wanaorudisha kadi huko mvomero,wanakilisha we need to be fair kwenye hizi chaguzi
 
Si umesema blog ya issamichuzi? Ni blog yake. Kama unajua maana ya blog huwezi kumpangia aweke nini kwenye blog yake. Afterall, alishasema vyama vya upinzani havimpelekei habari wala picha.
 
Michuzi halipi kodi, ni haki yake kuibeba ccm ili imbebe na yeye
 
Nilikuwa napitia blog ya issamichuzi leo nikaangalia kwa mwenye uelewa wa kawaida utagundua kuwa imeibeba ccm maana imetumia picha nyingi kumnadi mgombea wa ccm-arumeru kwa picha na matukio ambapo yangeweza chukua sawa sawa na mgombea wa ccm,nikashuka chini kidogo nikakutana na picha za wanachadema wanaorudisha kadi huko mvomero,wanakilisha we need to be fair kwenye hizi chaguzi
Mkuu, kable ya kulalamika inabidi pia kuangalia 'theme' ya unacholalamikia. Wewe huoni kuwa kwa hilo bandiko amesaidia kujua picha halisi za mikutano hiyo!?

Angalia vizuri hapo kwenye hizo picha alafu ujue ni 'wapiga kura'b wangapi, au waliosimama nyuma!? :)
Embu angalia huyo 'dogo' aliyeshika bendera kama kweli kaja mwenyewe, na keshabalehe kweli!?
6. Lusinde akiwachana CHADEMA kwenye ngome inayodaiwa yao Maji ya Chai.jpg

Back
Top Bottom