Michuzi ateuliwa mwandishi msaidizi wa Rais

He deserves it!!? After all these mauchafu kwenye kuripoti habari za Rais, Is Michuzi that person? Only time will tell.
 
STA70161-1.jpg
 
Kibonde anakauka koo tu kwa kubwabwaja tu kwenye Radio ya wafu wakati wenzake wanakula mashavu kudadadeki.

kibonde anatia huruma,kwa kutoswa ajipange upya,matusi yake hayatamfikisha popote,zaidi anatafuta chuki
 
Hii imekaaje? Mpinga picha ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari?

Nadhani kwa jinsi Tanzania tulivyohalalisha ubangaizaji (Rais anapenda kuuita UKANJANJA) suala la Mpiga Picha kuwa Mwandishi wa Habari Msaidizi wa Ikulu halitakiwi kushangaza. Inaonesha kuwa hadi ofisi kubwa kuliko zote nchini imeingia katika zoezi la UKANJANJA!

Mimi siku zote (samahani kwa uelewa wangu finyu) nilikuwa naamini Michuzi ni mpiga picha!
 
Ni kweli tulizisikia hizi habari tangu zamani kama kawaida ya ofisi ya bwana mkubwa inavyofanyakazi, ila kwa kweli hizo ndio quality za bwana mkubwa acha awachague toka gulio la cheap products ndio size zake, ila la muhimu ndio hilo hivi hawa ndio watakaokua wanafanya kazi na premy, yaani ukiwa na profession yako huwezi kukubali kufanyakazi huko ni kila kikaragosi kila kitu cha mtaani unakikuta ikulu, uswahili kwa kwenda mbele
 
Taarifa nilizozipata zinasema yule mpiga picha wa Daily News (ukipenda Daily Noise) Muhidin Issa Michuzi, ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari msaidizi wa Rais.

Haijulikani kama Premi Kibanga atabaki kuwa mwandishi msaidizi wa rais pia ama atapanda na kuwa mwandishi mkuu wa rais maana hadi sasa hakuna mwandishi mkuu wa rais aliyeteuliwa rasmi.

Salva yeye ni mkurugenzi wa mawasiliano ingawa mara nyingi hufanya kazi kama mwandishi mkuu wa rais. USINIULIZE SOURCE TAFADHALI
!


Inamaana hakuna mpiga picha wa rais kama alivyo Peter souzza Kwa Obama?.....kama hakuna basi huyu atafaa
 
Inamaana hakuna mpiga picha wa rais kama alivyo Peter souzza Kwa Obama?.....kama hakuna basi huyu atafaa
Mpiga picha wa Rais ni Freddy Maro tangu enzi za Mkapa. Tulipofika haijalishi nani anateuliwa kuwa nani maana hakuna tunalolitegemea zaidi ya kubadilika kwa maisha ya wateuliwa!
 
Hili dude michuzi sijui alikuwa anaenda kumsokomezea nani, halafu alivyolishika kama kashika mtarimbo wake vile
STA70161-1.jpg
 
Mpigapicha wa rais bado ni Fred maro na anaendelea kuwa yeye till further notice, huyu Michuzi pamoja na kuwa mtaalamu wa kupiga picha lakini bado amepelekwa kujikita kwenye uandishi zaidi katika ofisi hiyo ya rais
 
Back
Top Bottom