Michungwa inayoweza kuzaa machungwa 4000 kwa kila mchungwa

kuulizia miche bila eneo la kupanda nalo tatizo mm naitaji nina kaeneo kangu vikindu sina uwezo wa kujenga bora nipande hata miche. 15 kwa yeyote ambae anaitaji kaeneo ukubwa wa kawaida square meter 60 anicheki kwa pivate massage naweza kumsaidia bei kuanzia 3ml
Nahitaji ila vipimo ni mita au futi na lipo vikindu sehemu gani na bei mauzo ni ngapi
 
humu naona kama jocking nyingi sana eneo lipo vikindu njia ya kwenda viaz dk 6 kutoka vikindi police kwa pkpk nauza 3ml ukubwa meter 60*60 lipo barabaran bei hiyo bila ushur wa kijiji lingine ninalo vianz lina ukubwa wa square meter 60 lipo juu sehem nzur ila mbali kidogo kutoka vianzi magengeni nauza 2.8ml hati ninayo kwa jina langu mm nabadilisha tu nakupa ila mwisho kuna maeneo ambayo nimeachiwa hatuan 15*15 kama meter 50*50 bei 2.5 ml ukitaka dogo zaid au kubwa zaid tuwasiliane kwa 0716671919 juma pili naenda atakae kuwa tayar twende
 
Back
Top Bottom