Michael Scofield Ajitangaza yeye ni SHOGA

Umetumia lugha ambayo nadhani EMT atakuelewa zaidi.Sheria kuwepo haina maana haitavunjwa.Nadhani kama tunavyopenda kukopi sera za wazungu basi tukopi hii sheria ya Russia.
Infact sheria zinaweka kwa sababu huwa kuna "remote possibility" ya sheria zenyewe kuvunjwa.Ideally kama jamii ingekuwa haitegemei makosa basi pasingekuwa na haja ya kuwa na sheria in the first place!Kwa mfano..swala la kujiua au jaribio la kujiua ni kosa kisheria..why ilhali mtu anataka kutoa uhai wake mwenyewe?Lakini waliokuja na sheria hii wali preempty hii ishu ya kujiua!walijua either through experience au intuition kwamba kuna watu tu watataka kujiua....wakati mwingine ni ishu za morality tu kuweka sheria hizi.
 
Umetumia lugha ambayo nadhani EMT atakuelewa zaidi.Sheria kuwepo haina maana haitavunjwa.Nadhani kama tunavyopenda kukopi sera za wazungu basi tukopi hii sheria ya Russia.

It is not about sheria kuwepo ili ivunjwe. If laws are not enforced, what good are they?

Too often governments all around the world believe, or pretend, that just passing a law solves a problem. But without effective and tireless enforcement, laws will be ignored and the result is that the problem which a law was intended to tackle simply persists. Read more: If laws are not enforced, what good are they? - The National
 
It is useless kuweka sheria kuzuia hivyo vitendo passively. Ni unafiki.

Hakuna haja ya kuwa na sheria, if you can't enforce it. Passive laws are useless.

Nimeuliza hapo juu si kuna sheria dhidi ya vitendo vya ushoga?

Lakini pamoja na hiyo sheria mbona ushoja umeenea kona zote za nchi?

Because of passive laws, isn't it?
Wakati mwingine hata draconian laws hazisaidii ku-deal na social vices kama matumizi,uzalishaji,uuzaji na uingizizaji wa dawa za kulevya.Tuchukulie mfano wa Mainland China....adhabu ya wahalifu wanaoingiza au kutoa dawa za kulevya ni kifo.Lakini watu bado wanapeleka mzigo China!Lakini pili ,bado China imekuwa chanzo kikuu cha precusor chemicals (kemikali zitumikazo kutengeneza compound nyingine)zitumikazo kutengenezea madawa kama Cocain,heroin,methamphetamine nkPamoja na sheria kali za Uchina bado tatizo la madawa ya kulevya ni kubwa. Kwa maoni yangu sii ukali au udahifu wa sheria bali moral education....Nchi za kiarabu zina maambukizi madogo sana ya ukimwi..why?kwa maoni yangu mafundisho/na (sii sheria) ya dini yao yameshikwa sana na watu huko!
 
tusishangae sana dats part of life kwa sasa, the world is coming to an end bt wananikera hawa watu. lord 4giv them.
 
Wakati mwingine hata draconian laws hazisaidii ku-deal na social vices kama matumizi,uzalishaji,uuzaji na uingizizaji wa dawa za kulevya.Tuchukulie mfano wa Mainland China....adhabu ya wahalifu wanaoingiza au kutoa dawa za kulevya ni kifo.Lakini watu bado wanapeleka mzigo China!Lakini pili ,bado China imekuwa chanzo kikuu cha precusor chemicals (kemikali zitumikazo kutengeneza compound nyingine)zitumikazo kutengenezea madawa kama Cocain,heroin,methamphetamine nkPamoja na sheria kali za Uchina bado tatizo la madawa ya kulevya ni kubwa. Kwa maoni yangu sii ukali au udahifu wa sheria bali moral education....Nchi za kiarabu zina maambukizi madogo sana ya ukimwi..why?kwa maoni yangu mafundisho/na (sii sheria) ya dini yao yameshikwa sana na watu huko!

Umerudi kwenye hoja yangu kwenye hii thread ambapo nimesema kuwa

...Law is not a solution to every problem. Kama morals zimeshuka, hata hata ukileta sheria sidhani kama itasaidia sana especially where the law is not even rigorously enforced.
 
Halafu hii thread ime-attract interests sana. There are currently 2485 users browsing this thread. (42 members and 2443 guests)
 
Halafu hii thread ime-attract interests sana. There are currently 2485 users browsing this thread. (42 members and 2443 guests)

Mkuu wengi tulivyompa heshima huyu jamaa katuangusha sana lakini wanawake ndio zaidi!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom