MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,644
- 33,450
Niliipata iyo Taarifa 2011 ila ckuamini kivile koz jamaa alivyo act mule ndani like a really Man kumbe choko daaaah!!!!
Ila Co vitu vya kushangaa tumuombee 2 ili cku moja aweze kuzinduka nakujua kuwa ni Vibaya kwa Mungu koz ujui ya kesho unaweza pata m2 wa familia yako akawa ivyo either Son,Brother even Uncle!!!!
May GOD b with us Tanzanian's.!!!:yield::Cry::Cry:
Kwa mawazo kama haya soon mtasikia wabunge wakija na muswada wa kuwatambua rasmi!!!!
Hata wakiwatambua sio mbaya labda na mimi ni moja wao utajuaje??
Regards,
Jonathan.
It would be ridiculous to prevent such public discussion especially in the modern world where such discussion can be done by adults on the internet and children can read and even participate in the discussion anonymously.
Prohibiting the public discussion of gay rights and relationships anywhere where children can hear will do nothing kuondoa ushoga.
Hapa Tanzania ni kinyume na sheria kufanya vitendo vya ushoga, lakini mbona ushoga umeenea kila kona na tena unafanywa waziwazi?
Law is not a solution to every problem. Kama morals zimeshuka, hata hata ukileta sheria sidhani kama itasaidia sana especially where the law is not even rigorously enforced.
gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!
Mkuu umuhimu wa sheria kama hizi si wa kupuuza hata kama hautafanikiwa kwa asilimia 100 lakini uhuru wa majadiliano wa hizi mambo hautakuwa kwa kiwango kile kile tena mbele za watoto.
Yapo mambo mengi ambayo yanaongelewa mbele ya watoto. Watoto wanaangalia TV tena bila parental control na wanaona na kusikia hayo mambo.
Wakikatiza mitaani wanaona hayo mambo. Ukim-ban mtoto kutofanya kitu fulani bila maelezo bado atataka kukifanya kutaka kujua kwa nini amemkuwa banned.
Chukulia mfano wa matatizo mengine kama rushwa, madawa ya kulevya, nk pamoja na kuwepo kwa sheria dhini ya makosa hayo lakini ndiyo kwanza yameshamiri.
Hivyo hivyo, kuzuia public discussion juu ya ushoga kwa kutumia sheria haitasaidia. Sana sana itakuwa ni short cut.
Tatizo usiyo ukosefu wa sheria bali moral decay in the society.
... but laws will be more enforceable than having no laws,
Kwani sasa hivi biashara ya madawa ya kulevya ikoje Tanzania?imagine kwa tanzania ya leo tuseme sheria ya madawa ya kulevya haipo uone jinsi itavyokua hapa,
sheria lazima iwekwe ku restrict unless kesho kutwa wakiibuka watu fulani katika jamii wakasema ati sisi tuna dini yetu ambayo tuna amini LGBT ni perfect utaweza kukataa??
they say where the Law is Silent you can Never interpret
so tutawapa haki yao ambayo ni uhuru wa ubinafsi na faragha na unyumba katika katiba yetu,nadhani sheria iwepo,na penalty kwa hawa ni death though we should not condemn and judge ila tunajitafutia laana kwa huyo Mungu
Sasa yule Michael Scofield wa JF inakuwaje naye?
Kwani we ni nyani halafu babako ni ngabu.?