Michael Scofield Ajitangaza yeye ni SHOGA

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,439
Hii nimeikuta Yahoo ikaniacha mdomo wazi!!! Shetani ameshika kasi kuliko maelezo!

Wentworth Miller is not staying silent.

The "Prison Break" star, 41, has revealed that he's gay as an indirect response to Russia's anti-gay laws.
Russia passed a law last month that prohibits the public discussion of gay rights and relationships anywhere where children can hear it.

In June, the country adopted a law that bars the adoption of Russian children by same-sex couples and couples who reside in a country that has
LGBT acceptance policies.

When Miller was invited to be guest of honor at the upcoming St. Petersburg International Film Festival, he wrote a letter, which was posted on the GLAAD website, explaining exactly why he wouldn'tattend.

"Thank you for your kind invitation," he began his letter to the festival's director, Maria Averbakh. "As someone who has enjoyed visiting Russia in the past and can also claim a degree of Russian ancestry, it would make me happy to say yes. However, as a gay man, I must decline.

"I am deeply troubled by the current attitude toward and treatment of gay men and women by the Russian government,"he continued. "The situation is in no way acceptable, and I cannot in good conscience participate in a celebratory occasion hosted by a country where people like myself are being systematically denied their basic right to live and love openly. Perhaps, when and if circumstances improve, I'll be free to make a different choice."

Brad Pitt, Angelina Jolie, Miley Cyrus, and other big names in Hollywood have long championed LGBT rights stateside. Do you think they'll continue to travel to the country to promote their projects?
 
gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!
 
gay are naturally born people just like albino, you and me!!!! they are God people just like everybody so there is nothing to be suprised about for someone to be gay!!!

Hapo kwa red is not true!!!! Labda awe amezaliwa na homoni za kike aote matiti,hipsi n.k lakini kuna midume imezaliwa midume haswa inayoamua kuwa gay kama wavuta bangi wanavyoamua kuanza kuvuta!!

Hii kuchukulia poa na kuwapa haki maana yake tunawapa watu choice ya kuchagua regardless kama kweli kazaliwa na kilema cha aina hiyo.Lakini pia mwanaume anayeoa mwanaume mwenzake huyu nae ni naturally born? Upuuzi tu na laana!!!
 
MUIGIZAJI aliyejipatia umaarufu
katika tamthilia ya 'Prison Break'
Wentworth Miller maarufu kwa jina
la 'Michael Scolfield' ameamua
kujitangaza rasmi kuwa yeye ni
shoga.
Muigizaji huyo ameamua kuweka
wazi kitendo hicho baada ya
kupokea barua ya mwaliko wa
kuhudhuria tamasha la filamu la
kimataifa lililotarajiwa kufanyika St.
Petersburg nchini Urusi
Kwa mujibu wa taarifa iliyoandikwa
kupitia mtandao wa 'People.com'
imeweka wazi kuwa Scolfield
amekataa mwaliko huyo wa
kuitembelea nchi hiyo kutokana na
sheria zao zinazowabana wanaume
wanaojihusisha na ushoga.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa baada ya
muigizaji huyo kuipokea barua hiyo
ya mwaliko ndipo alipoamua
kuijibu kwa kuweka wazi kuwa
kitendo cha nchi hiyo kuweka
sheria ya kuwabana mashoga ndio
sababu kubwa inayompelekea
kushindwa kuhudhuria tamasha
hilo.
"Nashukuru kwa mwaliko wenu,
mimi nina asili kiasi ya Urusi
ingenipa faraja sana kuitembelea
nchi hiyo, lakini kutokana na sheria
zenu mimi nikiwa kama shoga
lazima niukatae mualiko huo"
aliandika Scolfield na kuongezea
kuwa."Ninaumiwa kwa kiasi kikubwa
na jinsi mashoga wanavyotendewa
na serikali hiyo".
Scolfield alieleza kuwa kutokana na
sheria hiyo na jinsi serikali ya nchi
hiyo inavyowachukulia mashoga
hao hawezi kushiriki kwa amani
kwenye tukio hilo lililoandaliwa na
nchi inayowanyanyasa watu kama
wao ikiwa pamoja na kuwanyima
haki yao ya msingi ya kusihi.
Mwezi June nchi hiyo ilianzisha
sheria dhidi ya ushoga iliyosainiwa
na rais wa nchi hiyo Vladimir Putin
ambayo imezua mijadala ya wazi
jinsi sheria hiyo inavyokataza
wapenzi wa jinsia moja.
Wentworth ni muigizaji aliyejipatia
umaarufu kwenye tamthilia ya
Prison Break mnamo mwaka 2005
hadi 2009, ingawa ameweza
kushiriki pamoja na kuandaa filamu
nyingine tofauti tofauti ikiwemo
'Stoker'.

Source. Bongoclants.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1377173483587.jpg
    uploadfromtaptalk1377173483587.jpg
    40.9 KB · Views: 588
Kwangu mimi hii siyo breaking news...the guy is a long time gay...ameshawahi kunaswa picha na ma-paparazzi katika mazingira ambayo yanashawishi kuwa yeye ni shoga...

Na mara kadhaa alipokuwa akihojiwa wala hakuwa anakanusha au kukubali...kitu ambacho kwa mwanaume rijali ni ngumu kufanya hivyo...
 
Mambo ya kawaida ndo maisha yake alioyachagua.. Being gay is not a life threat...

Regards,
Jonathan.
 
Niliipata iyo Taarifa 2011 ila ckuamini kivile koz jamaa alivyo act mule ndani like a really Man kumbe choko daaaah!!!!
Ila Co vitu vya kushangaa tumuombee 2 ili cku moja aweze kuzinduka nakujua kuwa ni Vibaya kwa Mungu koz ujui ya kesho unaweza pata m2 wa familia yako akawa ivyo either Son,Brother even Uncle!!!!
May GOD b with us Tanzanian's.!!!:yield::Cry::Cry:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom