Miaka 50 ya uhuru,je tanzania imepiga hatua?

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Wakuu kwa mtazamo wako,miaka 50 ya uhuru Tanzania imepiga hatua au kutimiza malengo yake?Mimi naona imetimiza malengo na ndio maana viongozi wanakula nchi kwa sasa,ina maana kazi imekamilika kwa hiyo hamna kazi iliyobaki.Je wewe una maono gani?
 
Back
Top Bottom