Miaka 50 uhuru wa "Tanzania"

MBURE JASHA

JF-Expert Member
May 7, 2011
200
46
Salaam waungwana wote.
Mimi nina umri wa miaka 32 sasa. kwa maana nimepitwa na Jamaa aitwae "Tanzania " Kwa miaka 18 mpaka Dec 9. NAOMBA NITOE HOJA SASA
Kwenye vitabu ,Walimu wetu na hata wazee wanatuambia Taifa la Tanganyika lilipata uhuru wake tar. 9/12/1961! Taifa ninaloishi sasa hivi linaitwa Tanzania ambalo lina umri wa miaka 47. Sasa tunasherekea uhuru wa Taifa lililopo bara gani? Ulaya,Africa,Asia au Antactica? Mwenye ramani africa hapo alipo anienyeshe Tanganyika ipo wapi? Kama tulingana na Zanzibar mwaka 1964! Taifa la Tanganyika lilipelekwa wapi? kuna watu watajibu kuwa iliungana na ZnZ. Mbona SMZ bado ipo Tanganyika Iko wapi? au sisi ni koloni la Zanzibar?
Naomba watz tujadili hii miaka 50 ya nchi hewa kwa kina tusifuate mkumbo tu kisa viongozi wanasema . NATAKA TAIFA LA TANGANYIKA ?
 
Six million dollar question!!!!.... Men... I like that!!!... Yu wapi mama yetu Tanganyika???...
 
It is shame, viongozi hawataki kusikia jina Tanganyika likitamkwa,
ndiyo maana wanakazania kuita "uhuru wa tanzania bara!"
Hili ni tusi kwa Watanganyika...
 
Back
Top Bottom