Mia

Figanigga mara ya mwisho alionekana zanzibar akifukuzia mrembo waliyekutana mmu,naona alioa na kuzamia huko huko.
 
Figanigga mara ya mwisho alionekana zanzibar akifukuzia mrembo waliyekutana mmu,naona alioa na kuzamia huko huko.

Duh,ndo kamkimbiza na jf kabisa.Huyo mrembo kwel controler.Mpe hi ukimuona mwambie atupie uzi hum.
 
mmmmh......jamani jamani.....tuwe na huruma basi wakati mwingine......
 
Mara ya mwisho nilimuona maeneo ya Temeke sudani!! akinunu malaya. mia
MAPROSOO.
 
Mara za mwisho mwisho alioonekana mitaa ya HUKU. Siku chache baade Nalog off naye kapotea katika mazingira ya kutatanisha wakati anamfuatilia binti mmoja wa JF. Makachero wa JF wanamshikilia huyu binti kwa uchunguzi zaidi. Yeyote atakayewaona atoe ripoti jukwaa lolote la JF
 
...huruma ya nn tena. Preta

si umemuona Batta hb alivyosema hapo juu....tunailemea server ya Max bebii...watu wanajianzishia thread na ID mpya ili waone mrejesho wake....sawa hatukatai....lakini tukichangia JF na hiyo mi ID yote huoni itapendeza bebii....au wewe unasemaje....
 
Last edited by a moderator:
Huyu kapata zali la kufanya utafiti wa marazi ya utapiamlo kwa wajawazito. Katumia cheti magumashi kupata hili zali lakini mpaka mida hii hajashtukiwa
 
Back
Top Bottom