:welcome: karibu Airtel huku mambo ni shwari
Jana nilikuwa na salio la 250/= kumpigia jamaa wa namba ya tigo baada ya dakika 1.01 salio limekwisha DU!
hata wafanye dakika buku tigo sihami ng'oooooooooooo hameni nyie wakuja mnaokurupuka tigo ndo kawazaa wote hao voda airtel celtel zain tritel sasatel
tiGo dakika 1 bila VAT ni Tsh ngapi !? .....duuuh ! 250Jana nilikuwa na salio la 250/= kumpigia jamaa wa namba ya tigo baada ya dakika 1.01 salio limekwisha DU!
mmh! mengine mnawasingizia tigo wangu lol!!!bora ww mie nilkuwa na 500 lkn nkpga simu wananiambia salio halitoshi
mmh! mengine mnawasingizia tigo wangu lol!!!
eti siku hizi ukimpigia mtu halafu hapatikani lakini unasikilizishwa new song ya marlaw...kha? hawa jamaa wanalazimisha promo
wamekua fake sana...mi nahama huu mtandao
Jamani uko bongo kwema!? tigo ndo mtandao gani tena? mm nliacha mobitel na vodacom! na airtel je?
mwaka huu lazima tigo wafunge virago