Mi nawaambia TIGO wanatuibia!

Kweli nilifikiri peke yangu ndio naliona hili, bt hata nyinyi kwanza ulikuwa ukinunua salio kwa tigopesa wanakupa dakika 14 tigo-tigo na dakika 6 kwenda mtandao wowote ukinunua ya Tsh 2000. Bt nw wanakupa dakika 5 tu, tena tigo-tigo. Me mwenye ss nimekimbilia zantel mpango mzima epic nation.
 
Back
Top Bottom