Mhudumu kaniibia cmu na kuficha kwenye nyeti

nimetoka kunywa supu mitaa ya kati cmu yangu niliacha mezani na kwenda kunawa mikono mhudumu wkt anatoa vyombo akatoa na cmu yangu yaani kitendo kimefanyika ndani ya dk.2 nashangaa cmu haionekani. Kuuliza watu pale kila mtu anakataa wakaitwa wahudumu wote wakakataa mzee mmoja akasema taja namba yako kijana nikataja akapiga heee kati ya wahudumu 8 mmoja akaanza kucheza kiduku pale watu tukawa tunashangaa mzee akawa anasema mbona cmu inaita dah kumbe yule aliye kuwa akicheza kiduku ndiye aliye nikwapulia na kuificha kwenye nyeti zake sasa wkt cmu inaita ilikuwa inamtekenya i see mmmh ikabidi aitoe pale dah na kuiweka mezani imetoka na shombo lol imeniradhimu ninunue sprit na kuipiga soap soap
akina baba_enock, asprin, kimey, teamo, bigirita, kaizer na wengineo tuwe makini tunavyo acha cmu mezani heri ya kina dada wanatembea na mikoba mikuuuubwa

bia za bure na michemsho,nunua acha ujinga
 
Pole Fide,mi mwenyewe kuna mhudumu wa kiume aliniibia simu akaificha kwenye li-boxer lake.....wakaitwa wote,ikapigwa ile vibration simu ikadondoka na mtarimbo up......l.o.l :A S 20::A S 20::laugh::laugh::laugh:

Duh sipati picha vili vimbaje kwa hilo li boxa lake.
 
Mama punguza wivu! unajua wivu ukizidi utasababisha watu wakague hahahaaaaaa shauri lako

Maty The Great!

Maty_Signature said:
If you love something, set it free. If it comes back, it was, and always will be yours. If it never returns, it was never yours to begin with
 
Hivi Teamo na GY.........kusoma hamjui ??..............Am Nobody, Noone and Nothing............ctaki:coffee::coffee:
 
Dah afadhali nimepumua maana hali ilikuwa mbaya!!! Haya sema dear

Hahahahha am in love with my peace my dear................ So relax

Mambo ni poa ni aje? I thought ningekuona this weekend but duh.............mybad lucky.

Next time ya mara nyingine ukiwa unakuja, make efforts za kunijulisha moja kwa moja maana ujukuu umeingia mchanga basi hakuna Babu hata mmoja alo tayari kunihabarisha ujio wako......
Make effort mama, make effort........mwambie hata Binamu Maty au Kimey watanijulisha lakini ukipostia via Asprin, GY, Teamo sijui Bigirita.....wote wachoyo:twitch::twitch:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom