Mhudumu kaniibia cmu na kuficha kwenye nyeti

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,444
Nimetoka kunywa supu mitaa ya kati cmu yangu niliacha mezani na kwenda kunawa mikono mhudumu wkt anatoa vyombo akatoa na cmu yangu yaani kitendo kimefanyika ndani ya dk.2 nashangaa cmu haionekani. Kuuliza watu pale kila mtu anakataa wakaitwa wahudumu wote wakakataa mzee mmoja akasema taja namba yako kijana nikataja akapiga heee kati ya wahudumu 8 mmoja akaanza kucheza Kiduku pale watu tukawa tunashangaa mzee akawa anasema mbona cmu inaita dah kumbe yule aliye kuwa akicheza kiduku ndiye aliye nikwapulia na kuificha kwenye nyeti zake sasa wkt cmu inaita ilikuwa inamtekenya i see mmmh ikabidi aitoe pale dah na kuiweka mezani imetoka na shombo lol imeniradhimu ninunue sprit na kuipiga soap soap
Akina Baba_Enock, Asprin, Kimey, Teamo, Bigirita, Kaizer na wengineo tuwe makini tunavyo acha cmu mezani heri ya kina dada wanatembea na mikoba mikuuuubwa
 
**^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**:cheer2:
 
Hivi kumbe njia rahisi ya kucheza kiduku kwa kina dada ni kuweka simu yenye vibration sehemu sehemu na kuipiga.....Aisee kweli Chuda Raha!
 
Fide............... pole sana. Ungetoa tu line ukambakishia gamba lile ah............

Kumwachia roho ilikuwa inaniuma sana dah

Kama hajafika kileleni sijui maana vibration niliyo weka si mchezo alikuwa anadunda dunda kama kiduku
 
**^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**:cheer2:

HAahah BAbu umeona ehee....afu alivyo na kusudi kaweka vaiburesheni mwenzake katekenyeka.......sijui hakufika na kumwaga.........

Pedejee ungetoa tu line bana ukamwachia jumba (Ingeondoa adha ya kuishika simu kwa mkono wa mashoto ati......)
 
Hivi kumbe njia rahisi ya kucheza kiduku kwa kina dada ni kuweka simu yenye vibration sehemu sehemu na kuipiga.....Aisee kweli Chuda Raha!

Yule kanikwapulia cmu mezani na kuificha huko fasta akarudi kuhudumia kupiga akawa anaruka ruka kama anacheza kiduku
 
HAahah BAbu umeona ehee....afu alivyo na kusudi kaweka vaiburesheni mwenzake katekenyeka.......sijui hakufika na kumwaga.........

Pedejee ungetoa tu line bana ukamwachia jumba (Ingeondoa adha ya kuishika simu kwa mkono wa mashoto ati......)

Huyu Fidel kila siku tunamwambia hizi baa na mijengo ya manzese sio zenyewe kabisa....Ivi mjukuu mtukutu, kumbe simu ikiwekwa sehem sehem bado inakuwa na netiweki?
 
Nimetoka kunywa supu mitaa ya kati cmu yangu niliacha mezani na kwenda kunawa mikono mhudumu wkt anatoa vyombo akatoa na cmu yangu yaani kitendo kimefanyika ndani ya dk.2 nashangaa cmu haionekani. Kuuliza watu pale kila mtu anakataa wakaitwa wahudumu wote wakakataa mzee mmoja akasema taja namba yako kijana nikataja akapiga heee kati ya wahudumu 8 mmoja akaanza kucheza Kiduku pale watu tukawa tunashangaa mzee akawa anasema mbona cmu inaita dah kumbe yule aliye kuwa akicheza kiduku ndiye aliye nikwapulia na kuificha kwenye nyeti zake sasa wkt cmu inaita ilikuwa inamtekenya i see mmmh ikabidi aitoe pale dah na kuiweka mezani imetoka na shombo lol imeniradhimu ninunue sprit na kuipiga soap soap
Akina Baba_Enock, Asprin, Kimey, Teamo, Bigirita, Kaizer na wengineo tuwe makini tunavyo acha cmu mezani heri ya kina dada wanatembea na mikoba mikuuuubwa

Usipende kuwaonea wanawake wewe, dakika mbili itoke na shombo ya kusafisha na sprit kweli!!
 
pole sana mkuu..hawa wahudumu huwa wanaclear meza na simu kana kwamba simu nayo ni mifupa then wanapiga kimya huyo sio mzoefu, maana hakuweza kukumbuka issue ya kuizima..besides umempa mbinu mpya ya kujimalizia issue kama atakmwama kumpata mwanaume. anajiwekea simu yake anaipga then twende kazi, mpaka anajirdhisha.mchezo kwishnei
 
ahhh ndugu wala haukua kwenye supu .Sema tu ulimu haidi utampa uta......u ukashindwa so akakukong'oli phone.
Pole lkn haikuwa inanuka alivyokupa bwanaaaa.
 
Huyu Fidel kila siku tunamwambia hizi baa na mijengo ya manzese sio zenyewe kabisa....Ivi mjukuu mtukutu, kumbe simu ikiwekwa sehem sehem bado inakuwa na netiweki?

Name Calling Babu...You have been warned

Hahhah hilo swali la netiweki nalo neno.........sijui ni mtandao gani huo netiweki yake iko na strength
 
wangeiacha tu muhudumu amalize.......hiyo simu ilibidi iite kama mara tano hivi, na wala usingeipata, naanga ingekuwa umelowa mpaka betri
 
Name Calling Babu...You have been warned

Hahhah hilo swali la netiweki nalo neno.........sijui ni mtandao gani huo netiweki yake iko na strength

............. The Shangazi iz Me...........lol

Another name calling.....You have been mtukutu!
 
ahhh ndugu wala haukua kwenye supu .Sema tu ulimu haidi utampa uta......u ukashindwa so akakukong'oli phone.
Pole lkn haikuwa inanuka alivyokupa bwanaaaa.

Teh teh nahisi umepatia hapa. Inawezekana halafu anakuja kutuzuga supu.
 
ahhh ndugu wala haukua kwenye supu .Sema tu ulimu haidi utampa uta......u ukashindwa so akakukong'oli phone.
Pole lkn haikuwa inanuka alivyokupa bwanaaaa.

Nimekwapuliwa kwenye sumu kweli natafuta housing nyingine hii nimepiga na sprit lakini bado inanuka shombo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom