Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 739
Juzi wakati nasikiliza radio WAPO, kuna mmama mmoja kutoka Kibamba, alipiga simu kwa mgombea mmoja hivi akawa analalamika kuwa watamfanyia nini ikiwa atachaguliwa, hasa juu ya suala la Mhindi mmoja ambaye amemfukuza mtoto wake kazi na kumchapa makofi bila kumpa chochote, uyo mama na wengine wameenda hadi Ikulu lakini hakuna lolote ambalo JK amefanya juu ya uyo anayewaonea...anadai Dandu (Dandooo) aliwatishia kuwa, HAWAWEZI KUMFANYA LOLOTE HATA WAKIENDA IKULU, YEYE AMWEKA KIKWETE MFUKONO hawataasaidiwa...wananchi wamebaki bila matumaini.
Naongea hivi kwasababu wamama hao waliongea kwa public na simu zao zimehifadhiwa na WAPO mission kama kuna mtu anayetaka kufuatilia....nilitaka nisiiweke hapa kwasababu ya kuogopa usalama wa huyo mama kwani hawa mafisadi huwa hawachelewi kumtumia mtu majambazi ili kufuta ushaidi, nikaona kuwa kwasababu ilishaenda kwenye hewa/radio kwenye public, walishaskia na siajabu watakuwa wanamfuatilia yule mama ili kupoteza ushaidi.
huyu Dandoo ndo yule Mhindi mwenye magari mengi sana ya mizigo yanayoenda Congo, anayo miradi mingi sana, na kwa wale wa mbeya, ndo yule mwenye ukumbi wa Danduu kule karibia na hospitali ya Meta. ndo anasema amemweka kikwete mfukoni...kabisaaa. rais wetu kawekwa mfukoni na wahindi.
cha maana hapa kwangu ni,
1. kuiomba selikali kuilinda hii familia, kwasababu inaweza kupotea mara moja kuanzia sasaivi ili kupoteza ushaidi.
2. kikwete anasemaje kuhusu hili, kama ameshindwa kuwasaidia wananchi, sasa basi ajisafishe ili tujue kuwa rais wetu hajawekwa mfukoni na mndindi fulani.