Mheshimiwa Peter Serukamba-uko na wananchi au mafisadi?

Kila Mtu Ana Haki Ya Kusimamia Anachoamini Ni Kweli,hata Kama Wewe Unaona Si Kweli.namjua Mh Serukamba,ni Kijana Anaesema Kweli Na Haogopi Kusimamia Ukweli Anaohamini,ni Mpiganaji Hasiechoka,ndio Maana Alimwangusha Kaburu Kigoma....unajua Zamani Inasekana Kuna Mwanafalsafa Mmoja Alidai Kuwa Dunia Ni Duara Na Sio Bapa,alibishana Na Watu Wote Mpaka Wakamuua.lakini Leo Historia Imeona Nani Ni Kweli,leo Hii Mnaweza Kuona Serukamba Hayuko Sawa Lakini Ni Kwa Mtazamo Wa Masafa Mafupi,historia Itamuona Tofauti Na Hayo Mnayowaza.

Nchimbi,
Mtu kweli ana haki ya kusimamia anachoamini. Hata Charles Taylor, Mugabe, Amin, Hitler, Musolini nk na wao walisimamia wanachokiamini. Ila binadamu wa kawaida hawezi kuwafuga watu kama hawa maana baadaye kuja kuwatoa inakuwa kazi sana. Ndiyo maana USA walipoona Savimbi kawa na Al-Qaid wakamuuwa palepale.
Juu ya Mwana-Falsafa unayesema ni Mikolaj Kopernik (Nicolaus Copernicus) aliyekuwa akiishi Torun, mji mmoja Poland ambaye kitabu chake ni jana tu kimeuzwa mnadani kama sikosei UK kwa zaidi ya dola milioni mbili. Huyu bwana alisema kuwa dunia ni duara. Ila ukweli ni kuwa dunia SI DUARA ila ni ELPSI (Umbo la yai). Hivyo hata yeye alirekebishwa kidogo. Sasa huyu kijana wako ambaye unamwona yuko sawa na msimamo wake, mwangalie vizuri. Hapa kuna watu kibao na wenye muono wa mbali. Inawezekana wakawa wote wrong. Ila uwezekano huo ni mdogo sana. Kuna watu walijua kuwa Hitler ni TISHIO ila tayari ilikuwa too laite. Kama huyu kijana ni KIRAFI namna hiyo basi naogopa CIA wakimuona tu basi ujuwe atakuwa wao. Watampanda huyo kichwani hadi awe wao na baadaye kuwa RAIS (Mabutu design). Kwa hili nawapenda Ma-Jews. Wangelimfuata kijana kama huyu na kumficha sehemu.
 
Kila Mtu Ana Haki Ya Kusimamia Anachoamini Ni Kweli,hata Kama Wewe Unaona Si Kweli.namjua Mh Serukamba,ni Kijana Anaesema Kweli Na Haogopi Kusimamia Ukweli Anaohamini,ni Mpiganaji Hasiechoka,ndio Maana Alimwangusha Kaburu Kigoma....unajua Zamani Inasekana Kuna Mwanafalsafa Mmoja Alidai Kuwa Dunia Ni Duara Na Sio Bapa,alibishana Na Watu Wote Mpaka Wakamuua.lakini Leo Historia Imeona Nani Ni Kweli,leo Hii Mnaweza Kuona Serukamba Hayuko Sawa Lakini Ni Kwa Mtazamo Wa Masafa Mafupi,historia Itamuona Tofauti Na Hayo Mnayowaza.

.........mbona kwenye ukweli wa EPA, Richmond, Radar hatujamsikia........yes you are right ni mpiganaji asiyechoka kuwapigania MAFISADI.....kama ambavyo anajidhihirisha..... are you comfortable now?
 
...........Walikuwa kwenye forum ya chama chao na walikuwa wanajaribu kuangalia namna bora ya kukisafisha chama huku wakiwa hawaachi shimo watakalojitumbukiza wenyewe kama ambavyo akina ole sendeka na wengineo wanavyoelekea bila kujijua kukiangamiza chama chao.

........unajua kuna vitu vingine its so funny............and only short minded ndio wanaoona akina Sendeka wanakiangamiza chama.........kwa Taarifa yako hawa ndio angalau wanaonyesha uhai uliopo ndani ya CCM...........CCM haina budi kuwalinda hawa kwa hali yoyote ile kwani ndio itakuwa pona yao (watetezi wa CCM) mbele ya wananchi............hivi ni nani anayekiangamiza chama?.......... ni yule anayesema ukweli au yule anayeficha ukweli (ambao unajulikana)
 
Hii habari nimeitoa toka kwenye DATAZ ya FMES kwenye "kutoka Dodoma".

4. Ikaja zamu ya selukamba, aliyemshambulia sana sendeka kuwa ni kibaraka wa mama kilango, na kusema kuwa choko choko zote za kina sendeka na wenziwe zinaanzia kwa mama kilango, alismea kuwa "........kuna watu ambao hawaonekani kuelewa kuwa uchaguzi wa urais uliiisha zamani bado wanataka urais mpaka leo, hivi hawajui kuwa Tanzania tuna rais tayari?...."

selukamba aliwashangaza wajumbe wote kwa kauli nzito aliyoitoa kuwa anaomba kulindwa maana mama kilango (ambaye hakuhudhuria kiako siku hiyo), amemtishia sana kuwa anaweza kumpiga au kumfanyia ubaya.

5. sendeka alirudi tena na kumjibu selukamba kuwa ni kibaraka wa mafisadi na hasa el na akamuonya muungwana na njama kubwa wanaozizfanya za kutaka el awe rais mwaka 2010, "....tunajua kuwa mnajitayarisha kugombea urais mwaka 2010 sio siri sasa kama sio unafiki ni nini mwambieni tu rais yupo hapa?....", ilibidi muuungwana aingilie kati maana sasa wajumbe walikuwa karibu washkane mashati, alianza kwa kujaribu kumsafisha el lakini wajumbe wakaguna sana kwa mshangao, ndipo alipoanza kunawa mikono kama nilivyozileta jana.
 
Serukamba anajitengenezea bomu kubwa la maisha yake ya kisiasa kwa kuwatetea mafisadi namna hii, ushauri wa bure asome alama za nyakati, hapendwi mtu ni Tanzania pekee!
 
nachoshindwa Kuelewa, Mafisadi Huwa Wananunua Jamaa Kama Huyu Serukamba Kwa Hela Kiasi Gani?? Maana Kuteam Up Na Mafisadi Kuna Lengo Fulani Si Hivi Hivi Tu Unless Na Yeye Alikuwa Ni Mfisadi Tangu Huko Nyuma Lakini Alikuwa Amekula Jiwe Na Sasa Imetimia Muda Ibilisi Kuonyesha Makucha Na Rangi Zake Zote
Labda Ule "mnyunyizo" Ulionyakwa Na Kamera Za Usalama Bungeni Unawafanya Wengine Wawe Wanaongea Bila Kujua Wanasema Nini.
Kama Ndio Hivyo kazi kwelikweli!
 
Last edited:
hii Habari Nimeitoa Toka Kwenye Dataz Ya Fmes Kwenye "kutoka Dodoma".

4. Ikaja Zamu Ya Selukamba, Aliyemshambulia Sana Sendeka Kuwa Ni Kibaraka Wa Mama Kilango, Na Kusema Kuwa Choko Choko Zote Za Kina Sendeka Na Wenziwe Zinaanzia Kwa Mama Kilango, Alismea Kuwa "........kuna Watu Ambao Hawaonekani Kuelewa Kuwa Uchaguzi Wa Urais Uliiisha Zamani Bado Wanataka Urais Mpaka Leo, Hivi Hawajui Kuwa Tanzania Tuna Rais Tayari?...."

Selukamba Aliwashangaza Wajumbe Wote Kwa Kauli Nzito Aliyoitoa Kuwa Anaomba Kulindwa Maana Mama Kilango (ambaye Hakuhudhuria Kiako Siku Hiyo), Amemtishia Sana Kuwa Anaweza Kumpiga Au Kumfanyia Ubaya.

5. Sendeka Alirudi Tena Na Kumjibu Selukamba Kuwa Ni Kibaraka Wa Mafisadi Na Hasa El Na Akamuonya Muungwana Na Njama Kubwa Wanaozizfanya Za Kutaka El Awe Rais Mwaka 2010, "....tunajua Kuwa Mnajitayarisha Kugombea Urais Mwaka 2010 Sio Siri Sasa Kama Sio Unafiki Ni Nini Mwambieni Tu Rais Yupo Hapa?....", Ilibidi Muuungwana Aingilie Kati Maana Sasa Wajumbe Walikuwa Karibu Washkane Mashati, Alianza Kwa Kujaribu Kumsafisha El Lakini Wajumbe Wakaguna Sana Kwa Mshangao, Ndipo Alipoanza Kunawa Mikono Kama Nilivyozileta Jana.

Kama Ndio Anatafuta Upopular Kwa Njia Ya Kutetea Mafisadi Basi Tutamdhibiti.
 
Staili ya watu kama Serukamba ni ya wale watu wanaojipendekeza ili waingie ndani ya kale kamduara, kwa mlio nae karibu naomba tu mumshauri it's too little too late. Maana kama hoja yake ilivyo kwamba wabunge wako bize na ufisadi tu lakini 2010 wataulizwa shule na barabara ziko wapi naye anaenda kinyume kwani wananchi wake hawatamuuliza ni namna gani mama kilango anavyomtisha. Halafu ni kwa nini watu kama hawa huwa wanaruhusiwa kupindisha hoja eti watu bado wanatafuta uraisi wakati ishu ni ufisadi??????????
 
Kila Mtu Ana Haki Ya Kusimamia Anachoamini Ni Kweli,hata Kama Wewe Unaona Si Kweli.namjua Mh Serukamba,ni Kijana Anaesema Kweli Na Haogopi Kusimamia Ukweli Anaohamini,ni Mpiganaji Hasiechoka,ndio Maana Alimwangusha Kaburu Kigoma....unajua Zamani Inasekana Kuna Mwanafalsafa Mmoja Alidai Kuwa Dunia Ni Duara Na Sio Bapa,alibishana Na Watu Wote Mpaka Wakamuua.lakini Leo Historia Imeona Nani Ni Kweli,leo Hii Mnaweza Kuona Serukamba Hayuko Sawa Lakini Ni Kwa Mtazamo Wa Masafa Mafupi,historia Itamuona Tofauti Na Hayo Mnayowaza.


Ni Shy au......?
 
Mtetea Mafisadi siku zote ni Fisadi tu, huyu jamaa atakuwa ni kibaraka wa Mafisadi na anajitahidi kadri ya uwezo wake kutetea mabwana zake ambao ni Mafisadi. Kuna wana CCM nawashangaa sana yaani, yaani kwao maslahi ya CCM ni bora na yako mbele zaidi kuliko maslahi ya nchi yao. What a waste.
 
Ni Shy au......?

Sina namna ya kukusaidia,nimeweka jina langu na unaniita mie ni Shy,mimi ni mtu naesimamia hoja zangu bili woga na sina sababu ya kujificha kwa kuwa mimi ni mpiganaji makini.naweza kupa ata namba zangu unipigie kama unazitaka.
 
Huyo Mheshimiwa amewekwa mfukoni na mafisadi.Anakula hela za RA na EL ndiyo maana akili hana
 
Kuna wengine ndani ya CCM wameamua kuwa, ashakum si matusi, mahayawani. Hayawani ni mtu ambaye pamoja na kupewa uwezo wa kutafakari na kuchanganua mambo tofauti na wanyama, lakini wenzetu hawa hawataki kabisa kuutumia uwezo huo waliotunukiwa na Muumba. Kwa wao chama cha mafisadi siku zote ni nambari one, pamoja na madudu yote yanayofanywa na viongozi wa juu ndani ya chama hicho na serikali hawataki kabisa kuyaamini au kuyatafakari madudu hayo. Wamekuwa kama kasuku kuendelea kuimba nyimbo za nambari one na kidumu chama cha mapinduzi.

Kasuku huweza kutamka maneno yanayotamkwa na binadamu pamoja na kuwa hajui maana ya maneno hayo. Wenzetu hao pia kama kasuku wanaendelea kuimba nyimbo hizo na kuudumaza uwezo wao wa kutafakari na kuchanganua mambo kwa uwezo ambao mwenyezi mungu ametupa wanadamu. Hivyo huyu Serukamba naye ni hayawani ambao ameamua kutotumia uwezo huo na kuendelea kuimba kama kasuku. Kwake yeye chama cha mafisadi ni nambari one na kamwe kwenye uchaguzi ujao Watanzania hawatauliza madudu ya EPA, Kiwira, Richmond, mikataba mibovu ya madini bali watataka kujua CCM ni nambari ngapi!!!? Tumshinikize hayawani huyu ili aelewe kwamba Watanzania tulio wengi hatukubaliani na uhayawani wake.
 
...hivi hamshtuki tuu,maana tangu aingie ubunge kanenepa ile mbaya mpaka tumbo linaburuza chini,huyu kazi yake ni kula tuu na kuongea upupu maana hana muda wa kufikiria zaidi ya pombe na pesa za mafisadi
 
Huyo Mheshimiwa amewekwa mfukoni na mafisadi.Anakula hela za RA na EL ndiyo maana akili hana

CCM kama watafanikiwa kutimua MAFISADI, wasisahau kumtimua na kibaraka wao Peter Serukamba.


Peter Serukamba MAFISADI wameisha jua weakness zake kuwa ni mlevi kwa hiyo hayo aliyoyasema inawezekana kapewa bia moja tu basi, Yeye kaanza kubwabwaja tu.
 
Mafisadi wakishinda....WABUNGE WOTE WA CCM WATAWASAPOTI KWASABABU WANANTAKA PESA ZA KAMPENI 2010!
Wanasiasa kama hawa huwa wanaitwa wanasiasa malaya kwa sababu yeyote atakeshinda hivi vita kati ya wazalendo na mafisadi basi wao watandandia washindi tu bila ya kujali kama ni haki ya mtanzania imefuatwa kwa msaada wao kama wawakilishi wa wananchi.
Wengi wao wanawawakilisha wananchi wajinga wasio jua haki zao na hivyo kuendelea kuliangamiza taifa!
Kilimanjaro,Arusha na kwingineko tulishawagomea na mtu anapewa kura kwa kile alichowafanyia wananchi na si UPASHKUNA!
 
Kijana huyu naona unapoelekea pabaya kwani badala ya kukaa na kufikiri ni jinsi gani anaweza kutekeleza majukumu yake yeye siku zote ni kutetea mafisadi tunamsubiri jimboni 2010 kwani siku zote umekuwa side ya mafisadi ajue kuwa 2010 rungu litamshukia kwani hana lolote alilofanya jimboni toka ameingia madarakani kwani hadi sasa hana kitu chochote wanajimbo watamkumbuka kwa alichofanya.
 
kijana Huyu Naona Unapoelekea Pabaya Kwani Badala Ya Kukaa Na Kufikiri Ni Jinsi Gani Anaweza Kutekeleza Majukumu Yake Yeye Siku Zote Ni Kutetea Mafisadi Tunamsubiri Jimboni 2010 Kwani Siku Zote Umekuwa Side Ya Mafisadi Ajue Kuwa 2010 Rungu Litamshukia Kwani Hana Lolote Alilofanya Jimboni Toka Ameingia Madarakani Kwani Hadi Sasa Hana Kitu Chochote Wanajimbo Watamkumbuka Kwa Alichofanya.

Ni Shoga Wa Kifikra Ama Changudoa Wa Kisiasa!
 
Back
Top Bottom