Mheshimiwa Peter Serukamba-uko na wananchi au mafisadi?

wananchi tumechoka ....sasa tunachukua stand ya bush ....u r either with us or against us.......
chagua wewe uko upande gani?
 
Mafisadi wakishinda....WABUNGE WOTE WA CCM WATAWASAPOTI KWASABABU WANANTAKA PESA ZA KAMPENI 2010!
Wanasiasa kama hawa huwa wanaitwa wanasiasa malaya kwa sababu yeyote atakeshinda hivi vita kati ya wazalendo na mafisadi basi wao watandandia washindi tu bila ya kujali kama ni haki ya mtanzania imefuatwa kwa msaada wao kama wawakilishi wa wananchi.
Wengi wao wanawawakilisha wananchi wajinga wasio jua haki zao na hivyo kuendelea kuliangamiza taifa!
Kilimanjaro,Arusha na kwingineko tulishawagomea na mtu anapewa kura kwa kile alichowafanyia wananchi na si UPASHKUNA!

Labda ndio maana hata JK hajaamua kukaa upande wa Wazalendo kiwaziwazi badala yake Mguu mmoja kwa mafisadi mwingine kwa wazalendo na kuonekana kukubaliana na mafisadi zaidi ya wazalendo.

Anaangalia mbali maana 2010, Mabenki yatawekwa makufuli na hakuna atakayeweza kuiba kirahisi, hivyo njia itakayokuwa imebakia ni kuwa na wale ambao tayari wameisha iba vya kutosha.

Si ulisikia hata kule Kiteto hawakwenda kuvunja mabenki badala yake waliita FISADI aliyekuwa tayari ameisha IBA kupitia RIchmondi?

Bado tuna kazi!
 
NCHIMBI,J Junior Member Join Date: Mon Jun 2008

Re: Mheshimiwa Peter Serukamba-uko na wananchi au mafisadi?

Quote: Originally Posted by Chief

Ni Shy au......?

Sina namna ya kukusaidia,nimeweka jina langu na unaniita mie ni Shy,mimi ni mtu naesimamia hoja zangu bili woga na sina sababu ya kujificha kwa kuwa mimi ni mpiganaji makini.naweza kupa ata namba zangu unipigie kama unazitaka.


Tujisenti Senior Member Join Date: Wed May 2008

Re: Mheshimiwa Peter Serukamba-uko na wananchi au mafisadi?

Huyo Mheshimiwa amewekwa mfukoni na mafisadi.Anakula hela za RA na EL ndiyo maana akili hana

Unajua haiwezi ku-get lower than this yaani aibu ndani ya hii forum, unafikia mahali mtu unajiuliza kama ni busara kuendelea kuwemo hapa JF? Lakini unafikiria wananchi wengine pia ambao ni genuine na wanahitaji kuelimishana,

Kumpenda Nchimbi mpaka kufkia kujiita jina lake, wakati inafahamika kabisa wewe ni nani that is incredible, mkuu wangu Mwanakijiji umeyaona haya makubwa? Maaana madogo yana nafuuu!
 
Mbona Hii Issue Inakuuma Sana Best!!! Are U Among Mafisi Maji???

Ni matatizo tu ya attention seeking, tena inasikitisha sana jinsi jamaa alivyoichafua hiyo topic, yuko allover jamaa ana hasira za binafsi na mama kilango, sasa anaamini kwa kufanya hivi ana-get back, hajali kuwa hapa kuna wananchi wanaohitaji kuelimishwa ukweli wa siasa ya taifa lao, anachojali ni yeye binafsi tu!

Sasa hivi yupo Dodoma, na accrding to the dataz zangu majuzi alikuwemo kwenye msafara wa Mwakyembe kwenda Dar, kutibiwa na haya ndio mawazo yake, sasa ngoja tumpelekee Mwakyembe hizi post zake, maana hata Mwakyembe hajui kuwa huyu jamaa hizi ndio tabia zake, inasikitisha sana!
 
Kila Mtu Ana Haki Ya Kusimamia Anachoamini Ni Kweli,hata Kama Wewe Unaona Si Kweli.namjua Mh Serukamba,ni Kijana Anaesema Kweli Na Haogopi Kusimamia Ukweli Anaohamini,ni Mpiganaji Hasiechoka,ndio Maana Alimwangusha Kaburu Kigoma....unajua Zamani Inasekana Kuna Mwanafalsafa Mmoja Alidai Kuwa Dunia Ni Duara Na Sio Bapa,alibishana Na Watu Wote Mpaka Wakamuua.lakini Leo Historia Imeona Nani Ni Kweli,leo Hii Mnaweza Kuona Serukamba Hayuko Sawa Lakini Ni Kwa Mtazamo Wa Masafa Mafupi,historia Itamuona Tofauti Na Hayo Mnayowaza.

Sasa yameanza kutimia
 
Back
Top Bottom