Mhe. Wassira anapokua msemaji wa CHADEMA...

Hivi wassira naye bado ni mtu wa kutiliwa maanani?
Nadhani hata uwezo wake wa kufikiri na kutathmini siasa umekwisha kabisa, kwahiyo akilala ,akiamka anaiona Chadema ikichukua uongozi wa nchi, sasa analazimika kuongea lolote linalomjia kichwani bila kutafakari.

Juzi tu amezomewa sana na wananchi wa jimboni kwake bunda, sasa kwanini asirukwe na akili? hiki kimbunga cha M4C kinawatisha nyinyiem na hivyo wanajikuta wanajiropokea tu bila kujua wanaongea nini.
Alidai waliomzomea ni walevi wa wili watatu kati ya watu elfu sita waliokuwepo ktk mkutano wake. Alichoboa aliteka mjadala wote presenter ndo akawa mskilizaji.
 
“Chadema nao wana makundi na ndiyo maana walitofautiana na marehemu Chacha Wangwe (aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA)… nao wana matatizo katika uongozi,” alisema Wassira na kuongeza:

“Mbowe, Zitto na hata Dk Slaa nao wana makundi ndiyo maana Zitto alipotangaza kutaka kugombea urais alionywa, tena mmoja ya waliofanya hivyo ni muasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei.”

Wassira alisema hata Shibuda hivi karibuni ameibuka na kuzungumza yake, lakini chama hicho kimeshindwa kumfukuza.
Alisema ndani ya CCM kuna makundi na kwamba, matatizo yanayojadilika huku akijigamba kuwa chama kikubwa kama hicho hakiwezi kukosa matatizo.

Kuhusu siasa za majukwaani, Wassira alisema CHADEMA wanaeneza propaganda ili Watanzania wakiamini chama hicho kuwa kitachukua nchi mwaka 2015.

“Haya ni majigambo tu, mimi ni mzoefu na nimeanza siasa tangu utotoni, hizi ni siasa ambazo unaweza kuzifananisha na uganga wa kienyeji,” alisema Wassira.

Haya ndio mazungumzo ya Mh.wakati wa dk 45 ITV hapa mi najiuliza kwamba huyu jamaa amekua msemaji wa CHADEMA sasa kama ndio hivyo avue gamba nae avae gwanda.

Jiulize kwamba ni kwanini chama ambacho kimeweza kutawala kama sio kuongoza kwa muda wote huo hakiwezi kuongea moja kwa moja mpaka in comparizon to CHADEMA ukianza kufanya mlinganisho wa vyama kama CHADEMA ina maana kwamba CHADEMA tunawatisha na ndio maana lazima watutaje, wajilinganishe na mambo kama hayo na hii M4C ni mwisho wa gamba

Nikimkumbuka Wassira! Alivyochoka kabla hajaokolewa na JK. Nikimkumbuka Wassira akiwa amevaa safari buti imekata centre bolt! Nikimkumbuka Wassira alivyochoka, akiwa anavaa koti fuuupi na shati jeupe lililochanika kwenye kiwiko cha mikono, nikimkumbuka Wassira akifukuzana na Mhariri wa DIRA pale MAELEZO hadi akaitwa Tyson, nk nk naamini kweli kuwa mwanasiasa ni sawa na kuwa mganga wa kienyeji. Ana haki kutetea magamba maana yalimwokoa, Wassira alichoka, alichoka, jamani! na hiyo ni baada ya kuzunguka vyama karibu vyote, kikiwemo alichokianzisha mwenyewe.
 
Katika viongozi wanao subiri kuondoka madarakani kwa aibu ni wassira,ni vema akapima upepo akakaa pembeni akawa mtazamaji tu!kwani wakati ndio sasa hajui kama hili goma limesha kata break na limeama njia linaelekea kwenye kichaka
 
Siyo huyo anamaanisha huyu hapa, usirudie tena kumfananisha binaadam na mnyama

View attachment 55623

Duuu ila mbona wanafanana sana. au ni yale tuliyokuwa tunafundishwa kuwa binadamu ametokana na nyani.
inabidi tubadilishe tuseme huyu jamaa ametokana na n@@@y---a====ni.
 
Kama wanafanana je? Unajua kabisa wanadamu walitokana na wanyama, tena sokwe. Anyway mi simo, shauri yenu Tyson akiwajua!
 
Ukiona hivyo na akili zimeshazeeka lakini wanany'any'ania madaraka wakati vijana wenye uwezo mzuri wapo mitaani wanaangaika,kwa kweli naomba ccm wapigwe chini ili tuone vile vizee vyote vitaishia wapi.
 
No. This is too much. Tutumie busara na kuheshimu watu katika mitandao hii ya kijamii, ndo na ninyi wachangiaji mtaheshimiwa.
 
wakubwa!ninakawaida ya kumsikiliza mtu yoyote hata kama kichaa,mlevi nk napenda kumsikiliza tu kwani huwa naamini kwamba ktk maneno yeke 20 basi kuna hata 1 laweza kuwa na point.

Lakini usitegemee mtu kama Wasira,ataongea point toka ananza kuongea hadi anamaliza hata kama angeongea wik nzima mfululizo.Kama kuna mashindano ya kulala kwenye mabunge,vikao,n.k basi mchukue wasira kwani ila kabla hawajafungua mashindano atakua alisha anza kukoloma
Mimi sikubaliani na wewe kwa kusema kwamba wasira huwa haongei point hata moja ingawa nakubaliana nawe kwamba miongoni mwa mengi anayoongea asilimia kubwa husema uwongo. Kwa kauli yake ya uislam na ukristo Zanzibar alisema kweli kwamba dini hizo ziliingia visiwani humo miaka mingi iliyopita kabla ya muungano na kwamba kudai kuvunjika kwa muungano kwa kuchoma makanisa si kitendo cha uungwana hata kidogo kwa vile makanisa hayajautengeneza muungano huu.
 
“Chadema nao wana makundi na ndiyo maana walitofautiana na marehemu Chacha Wangwe (aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA)… nao wana matatizo katika uongozi,” alisema Wassira na kuongeza:

“Mbowe, Zitto na hata Dk Slaa nao wana makundi ndiyo maana Zitto alipotangaza kutaka kugombea urais alionywa, tena mmoja ya waliofanya hivyo ni muasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei.”

Wassira alisema hata Shibuda hivi karibuni ameibuka na kuzungumza yake, lakini chama hicho kimeshindwa kumfukuza.
Alisema ndani ya CCM kuna makundi na kwamba, matatizo yanayojadilika huku akijigamba kuwa chama kikubwa kama hicho hakiwezi kukosa matatizo.

Kuhusu siasa za majukwaani, Wassira alisema CHADEMA wanaeneza propaganda ili Watanzania wakiamini chama hicho kuwa kitachukua nchi mwaka 2015.

“Haya ni majigambo tu, mimi ni mzoefu na nimeanza siasa tangu utotoni, hizi ni siasa ambazo unaweza kuzifananisha na uganga wa kienyeji,” alisema Wassira.

Haya ndio mazungumzo ya Mh.wakati wa dk 45 ITV hapa mi najiuliza kwamba huyu jamaa amekua msemaji wa CHADEMA sasa kama ndio hivyo avue gamba nae avae gwanda.

Jiulize kwamba ni kwanini chama ambacho kimeweza kutawala kama sio kuongoza kwa muda wote huo hakiwezi kuongea moja kwa moja mpaka in comparizon to CHADEMA ukianza kufanya mlinganisho wa vyama kama CHADEMA ina maana kwamba CHADEMA tunawatisha na ndio maana lazima watutaje, wajilinganishe na mambo kama hayo na hii M4C ni mwisho wa gamba

Mimi nitakuja Kumsikiliza Wasira siku atakaposema ban ya miaka 5 aliyopewa na mahakama kuu kwa kosa la rushwa (alifunguliwa kesi na Jaji Warioba kwenye uchaguzi jimbo la Bunda) ilikuwa halali (kwamba alitoa mlungula kwa wapiga kura ili wamchague) ndiyo maana hakukata rufaa... huyu naye ni wakala wa wala rushwa!
 
huyo mzee ni product ya evolution direct kutoka hifadhi ya gombe, kwa hiyo msimjali sana huyo mgeni toka hifadhi zetu
 
"Chadema nao wana makundi na ndiyo maana walitofautiana na marehemu Chacha Wangwe (aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA)… nao wana matatizo katika uongozi," alisema Wassira na kuongeza:

"Mbowe, Zitto na hata Dk Slaa nao wana makundi ndiyo maana Zitto alipotangaza kutaka kugombea urais alionywa, tena mmoja ya waliofanya hivyo ni muasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei."

Wassira alisema hata Shibuda hivi karibuni ameibuka na kuzungumza yake, lakini chama hicho kimeshindwa kumfukuza.
Alisema ndani ya CCM kuna makundi na kwamba, matatizo yanayojadilika huku akijigamba kuwa chama kikubwa kama hicho hakiwezi kukosa matatizo.

Kuhusu siasa za majukwaani, Wassira alisema CHADEMA wanaeneza propaganda ili Watanzania wakiamini chama hicho kuwa kitachukua nchi mwaka 2015.

"Haya ni majigambo tu, mimi ni mzoefu na nimeanza siasa tangu utotoni, hizi ni siasa ambazo unaweza kuzifananisha na uganga wa kienyeji," alisema Wassira.

Haya ndio mazungumzo ya Mh.wakati wa dk 45 ITV hapa mi najiuliza kwamba huyu jamaa amekua msemaji wa CHADEMA sasa kama ndio hivyo avue gamba nae avae gwanda.

Jiulize kwamba ni kwanini chama ambacho kimeweza kutawala kama sio kuongoza kwa muda wote huo hakiwezi kuongea moja kwa moja mpaka in comparizon to CHADEMA ukianza kufanya mlinganisho wa vyama kama CHADEMA ina maana kwamba CHADEMA tunawatisha na ndio maana lazima watutaje, wajilinganishe na mambo kama hayo na hii M4C ni mwisho wa gamba

By the way who was chacha wangwe ktk CDM?Kwa kuwa alikuwa maarufu ktk jimbo lake?CDM bado inapaa.CCM Msipende mfanya mtu mmoja km ndio uhai wa kila kitu wakati absence yake imeonyesha mambo yanaweza kuwa even better yeye.Achei utumwa wa kifikra na ,fitna, kufanya kazi ya zidumu fikra za mwenyekiti.

So mlitaka Wangwe awe nani ndani ya CDM?Rais angegombea? Zitto naye akifa mtaanza huu upuuzi?Off km wanaleta harufu mbaya wanahitaji shauriwa kuwa timing si sahihi.

CDM wamekuwa wakifanikiwa zaidi kwa kuwa na timing ya kila kitu,wanachoongea, wanayemweka, etc ndio wamekuwa si predictable ktk mipango ya CCM.NCCR, CUF etc wapo too predictable kiasi ch akuwafanya CCM waweze kuwaweka ktk agenda zao

So mkue kidogo muache hizi dead politics.wangwe is dead ..kama Shibuda takavyo kufa kisiasa.

CCM kupitia huyu mzee, wanakuwa na reason illogical , wandhani sababu km hizi zinaweza watoa hatiani ""Na fulani naye pia huwa aniba"". Sasa haya matakataka yatatufikisha wapi km hizi ndizo fikra zao
 
Huna tofauti na Kichaa, Wasira amewumiza, fuatilia mijadala juu ya M4C inajadiliwa tofauti kabisa tena kwa uangalifu mkubwa, kwa kauli ya Wasira watu wamegundua CDM ni danganya toto.
Mkuu Chuki, unamaana gani unaposema 'watu wamegundua.........'
 
JF mmezidi wengine huyu ni baba yetu. Tunaomba hiyo tu itoshe kuwaasa muache kumtusi hivi. Ni jambo la ubaguzi kumfananisha mtu na mnyama. Hata kama kuna tofauti za kisiasa, huyu ni baba yetu mzazi. Tafadhalini sana wana JF!
 
Hapana ni huyu hapa.....View attachment 55646

Yes Steven Wassira is a chimpazee by 100%!
That being the case NEVER expect a Chimp to think like human beings!

Ni kweli kabisa Wassira ni sokwemtu kimaumbile na kiakili na ndiyo maana akiongea anaongea utumbo siku zote.
Watu tunashangaa kwanini Rais wake Kiwete kambakisha kwenye Baraza la Mawaziri huku akiendelea kulalamika ati Wazee ndani ya CCM na serikali yake ndiyo chanzo cha kushindwa!
 
Back
Top Bottom