harakat
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 2,888
- 1,347
Chadema nao wana makundi na ndiyo maana walitofautiana na marehemu Chacha Wangwe (aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA)
nao wana matatizo katika uongozi, alisema Wassira na kuongeza:
Mbowe, Zitto na hata Dk Slaa nao wana makundi ndiyo maana Zitto alipotangaza kutaka kugombea urais alionywa, tena mmoja ya waliofanya hivyo ni muasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei.
Wassira alisema hata Shibuda hivi karibuni ameibuka na kuzungumza yake, lakini chama hicho kimeshindwa kumfukuza.
Alisema ndani ya CCM kuna makundi na kwamba, matatizo yanayojadilika huku akijigamba kuwa chama kikubwa kama hicho hakiwezi kukosa matatizo.
Kuhusu siasa za majukwaani, Wassira alisema CHADEMA wanaeneza propaganda ili Watanzania wakiamini chama hicho kuwa kitachukua nchi mwaka 2015.
Haya ni majigambo tu, mimi ni mzoefu na nimeanza siasa tangu utotoni, hizi ni siasa ambazo unaweza kuzifananisha na uganga wa kienyeji, alisema Wassira.
Haya ndio mazungumzo ya Mh.wakati wa dk 45 ITV hapa mi najiuliza kwamba huyu jamaa amekua msemaji wa CHADEMA sasa kama ndio hivyo avue gamba nae avae gwanda.
Jiulize kwamba ni kwanini chama ambacho kimeweza kutawala kama sio kuongoza kwa muda wote huo hakiwezi kuongea moja kwa moja mpaka in comparizon to CHADEMA ukianza kufanya mlinganisho wa vyama kama CHADEMA ina maana kwamba CHADEMA tunawatisha na ndio maana lazima watutaje, wajilinganishe na mambo kama hayo na hii M4C ni mwisho wa gamba