Mhe. Selasini, nakuomba uhamie ACT-Wazalendo

Aisee kumbe ndo ID yako halafu unaongea upuuzi tu mbunge mzima,heri chadema walikufukuza
 
Najua huko ulipo sasa hauna amani kwa kuwa hawaendani na kile ambacho umekuwa ukikisimamia siku zote: "Kukosoa kwa hoja na busara bila kutukana".

Yawezekana wengi wanakushauri uende CCM, lakini ukweli ni kuwa nchi hii bado inahitaji sana wapinzani hasa wa aina yako na Mh. James Mbatia.

Hamtukani, hamna jazba, mnasimamia hoja kwa maslahi ya Taifa.

Ni Ushauri tu
#UsinijibuHivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa zitto? Afadhali abaki tu ufipa kama hamna namna nyingine.
 
Najua huko ulipo sasa hauna amani kwa kuwa hawaendani na kile ambacho umekuwa ukikisimamia siku zote: "Kukosoa kwa hoja na busara bila kutukana".

Yawezekana wengi wanakushauri uende CCM, lakini ukweli ni kuwa nchi hii bado inahitaji sana wapinzani hasa wa aina yako na Mh. James Mbatia.

Hamtukani, hamna jazba, mnasimamia hoja kwa maslahi ya Taifa.

Ni Ushauri tu
#UsinijibuHivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Upumbavu ni hali ya kutotumia akili ya kawaida ili kug'amua mambo. Yaani ahamie Islamic brotherhood of Tanzania aachane na Nccr Mageuzi!
 
Tunataka upinzani wake wa busara uendelee

Sent using Jamii Forums mobile app

Unataka upinzani wenye busara kwani ccm wana busara? Sema mnataka wapinzani makondoo na wazee wa ndio mzee na sio wapinzani. Toka lini simba ikaipangia Yanga mbinu za kupata ushindi? Toka Magufuli ameingia madarakani amejigeuza Mungu mtu, anataka akosolewe kwa namna aitakayo na zaidi sana anataka kusifiwa, yoyote anayefanya siasa za kumnyenyekea huyo ndio anamuita mpinzani mstaarabu.

Kwa taarifa yako hiyo tabia anayotaka kupandikiza ya kuleta siasa za kusujudiwa, na kuweka wapinzani anaowataka yeye ni jambo la muda mfupi na hatafanikiwa, kwa sababu yeye mwenyewe sio muadilifu, na ndio kinara wa kunajisi chaguzi za nchi hii. Ni suala la muda tu atagota na huo utashi wake ndio utakuwa fimbo ya kumchapia.
 
Hujafa hujaumbika bwashee, endelea tu na kufuru zako Mungu anakuona na shetani amekusoma!

Anaanzisha uzi wa kutaka siasa za kistaarabu, kisha analeta matusi ya wazi wazi. Kimsingi hataki siasa za kistaarabu, bali anataka siasa za kunyenyekewa, ambazo ndio siku hizi zinavikwa kilemba cha siasa za kistaarabu.
 
Mkuu unajua hapa ubamjibu yule mbunge aliyelia bungeni

Back
Top Bottom